Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Nadhani ulikutana na mwenzako mwezi wa saba na si wa sita ili kuwa na mantiki.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 4 na tarehe 5
Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi kumulika kipimo kuna mstari unajichora kwa mbali, lakini natumia nguvu nyingi kuuangalia. Sasa sielewi, nina mimba au sina?