Nadhani ulikutana na mwenzako mwezi wa saba na si wa sita ili kuwa na mantiki.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 4 na tarehe 5
Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi kumulika kipimo kuna mstari unajichora kwa mbali, lakini natumia nguvu nyingi kuuangalia. Sasa sielewi, nina mimba au sina?
Nilikosea ni sahihiNadhani ulikutana na mwenzako mwezi wa saba na si wa sita ili kuwa na mantiki.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 4 na tarehe 5
Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi kumulika kipimo kuna mstari unajichora kwa mbali, lakini natumia nguvu nyingi kuuangalia. Sasa sielewi, nina mimba au sina?Kwa mzunguko wako, na kama mlikutana mwezi wa saba
Kwa hiyo siku zimepotelea kwenye jukwaa lini?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa saba nilikutana na baba watoto tarehe 4/7/2023 na tarehe 5/7/2023
Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi kumulika kipimo kuna mstari unajichora kwa mbali, lakini natumia nguvu nyingi kuuangalia. Sasa sielewi, nina mimba au sina?
Natumia siku 5Ukihesabu siku kutoka hedhi ya mwisho Hadi tarehe ya kukutana na mwenzi wako, zinafika siku 15-17 ambazo ni siku za hatari kwa mwanamke!
Inawezekana ukawa umeshika kweli though ni vzur kama ungesema unatumia siku ngap ukiwa hedhi
Hana watoto huyu asingeuliza swali hili.una mimba.
ila ni wiki kadhaa kwahiyo mstari haukoleagi
Halafu mtu una na watoto usijue kabisa izo mambo?