Katika utawala wake ni wakati wakulima wengi tunanufaika na sera zake za kufungua nchi, mbaazi kutoka kuuzwa tshs 150 Hadi mnada wa juzi chama kikuu Cha TENECU Newala bei ya juu 2160 na ya chini 2050.
Ufuta ndio umevunja rekodi, muhogo tulikuwa tunalisha nguruwe tu Leo gunia ni 90,000, Mahindi 120,000 mpunga 140,000. Karanga za maganda plastiki ni 14,000 musisahau na bei ya pamba na kahawa ilivyo panda. Pembejeo za ruzuku nakumbuka enzi za mtangulizi wako mfuko mmoja wa sulphur walikuwa wanagawana watu watatu, mwaka Jana AMCOS yangu mkulima kuanzia mikorosho 1 Hadi 10 ilikuwa ni mfuko mmoja na wapo wakulima walio omba mifuko 20 kwa mikorosho 1500 lakini ukawapa mifuko 45, hapo sijaongelea mbolea za ruzuku kila mtu anajua tatizo la mbolea duniani, sisi watanzania umetufanya tuhisi unafuu. Tunakushuru.
Ujio wa DP world wakulima tunaamini mazao yetu yatapanda bei kwakuwa usafiri utakuwa nafuu, kutokana na ufanisi wa bandari meli zitakuwa nyingi na hazitakubali kurudi empty hivyo mazao yetu yataenda nje kwa bei poa, hivyo kupunguza gharama za uendeshaji na kuongeza bei kwa mazao yetu. Hii ya DP world Ina multiplayer effect kubwa, hasa kwa sisi wakulima.
Hiyo Dollar munayosema imehadimika ni sisi wakulima ndio tutaijaza kwa kuuza na kusafirisha nje mazao yetu kwa urahisi kupitia uwekezaji mkubwa wa DP world. Samia anawanyima wengi usingizi. Mama wakutukane wafanyaje, vumilia, usiwakamate Wala kuwajibu kwa maneno, wajibu kwa matokea, historian itakutambua, kuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa raisi wa Tanzania na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi kuliko watangulizi wako.
Unatupa moyo wa kufanya kazi mashamba I, thamani ya ardhi imeongezeka, vijana wengi tuposhambani Sasa. Mimi ni mkulima na Katibu wa AMCOS huku Newala ( Mapili AMCOS) naona kupitia bodi ya korosho ulivyodhibiti ubadhirifu wa pembejeo kupitia TEHAMA. Umewza. Sisi wakulima tuliowengi tunakuombea maisha marefu.