Sijaona lisilo la kweli alilosema Polepole; anzia CCM kukiuka katiba hadi kujiuza kwa matajiri

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.

Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi wanamchukia sana. Tanzania imekamatwa sana na genge hili linalotia watu waliokuwa wakuu wa nchi, wafanya biashara na viongozi mbalimbali wa dola hususa vyombo vya usalama.

Tanzania imefikia mahali ambapo unaweza kuona wazi kabisa kwamba tunaongozwa na kikundi cha namna ya Mafia ya Marekani au Urusi Tunaongozwa na watu wachafu wasio na aibu katika kufanya uovu, wamjejaa ufisadi, ukatili na hata hawaogopi kuua! Hawa ndio watu wanaweza kutoa majibu kama kupokea fedha chafu kwa ajili ya CCM hakuna ubaya kwa sababu wao ni wachafu kuliko hata hao wanaowapa fedha!

Tunaongozwa na genge la wahalifu lisilojali miiko au maadili yeyote ya uongozi, na kinachosikitisha ni kwamba kuna watanzania wengi wajinga sana wanalidhangilia hili genge, aidha kwa kutokujua au kwa sababu wanafaidika kibinafsi na genge hili la waovu, ambalo wengine wao wala sio wanachama wa CCM bali wanaitumia CCM.

Mtanzania yeyote anaepingana na yake Polepole anaeleza aidha ni mjinga sana au nae ana damu ya uovu kama hili genge la Mafia lililoshikilia nchi kwa sana. Polepole anapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania alie mwadilifu na anaeitakia nchi yetu mambo mema.

Kama hauko na Polepole, uko na genge la wahuni, mafia wa Tanzania, na huo ndio ukweli.
 
Labda swali la msingi ni kwamba wale wachache tunaoelwa kwamba CCM na nchi kwa ujumla imechukuliwa na genge la watu wachafu, tufanyeje?

Tanzania hatuna utamaduni wa mass uprising, na genge hili la watu wachafu limefanya jitihada kubwa kuzimisha dalili zozote za watu kuamka na kudai uongozi safi na haki. Polisi wana maagizo ya kupiga hata kuua dalili zozote za watu kudai haki kama jumuia (mass uprising). Ndio maana watu wanajua wazi, wakiandamana kudai mabadiliko ya serikali polisi watawaua - wana maagizo hayo.

Na hata madai ya mabadiliko yanapoletwa kupitia siasa za upinzani, wale wachahe wenye mwamko huo wanaminywa - hata kwa kutekwa na kuuwawa, au kufunguliwa kesi zisizo na mshiko ya uhaini kama ya Lissu. Hili genge litafanya lolote kuhakikisha linaendelea kushikilia nchi. Limeziweka taasisi zote za serikali mfukoni.

Na halina aibu, kama nilivyosema, linakiuka miiko kufanya wizi na mauaji bila aibu yeyote, na hata likiambiwa au kushauriwa, linakuwa n kiburi cha kutosikiliza.

Lakini bado naamini hatujapotea kabisa. Wapo watu wachache nje ya serikali na taasisi za umma, kutia ndani Uslama wa Taifa, JWTZ, Polisi na hata taasisi za kidini, ambao wanaona kinachoendelea na wana uwezo bado wa kugeuza mwelekeo wa nchi yetu.

Aliwahi kuimba Hemed Manet wa Vijana Jazz, kwamba "kama nyuma tulilala mbele tusilale tena!"
 
Polepole yupo sahihi
Amesema CCM inakaribia kutekwa na wanamtandao - labda hapo tu ndio nitamsahihisha.

CCM imeshatekwa na wanamtandao!

Na inasikitisha sana kwamba inaonekana kama hata Samia ameukubali ukweli huu kwamba bila wana Mtandao hawezi ku-survive, na kuchukua msimamo kwamba "if you cant beat them join them". Mara nyingine nadhani Samia ni mtu wa kuhurumiwa kuliko kulaumiwa. She is not is self control mode right now.

Nchimbi yeye anadhani atapambana akiwa ndani dhidi ya hili genge, na kuwa kwake makamu wa raisi itakuwa mwanzo wa mpambano huo. Namtahadharisha - Nchimbo dont underestimate the powers and reach of this gang!
 
Ccm imeshatekwa na sijamuona mwana ccm mwenye ubavu kwa sasa kuwaondoa hao so called wanamtandao.

Na wanamtandao wanaendelea kujihimalisha zaidi ili kulinda kile wanachowaibia watanzania.

Nchi imekosa wazee wa busara kusema bayana kabisa.
 
Ninapofikiria uwezo na nguvu ya hili genge, kila kifo cha kiongozi wa Tanzania nakitilia shaka, kama ifuatavyo, all it consppiracy theory, but it is what it is;
  1. Nyerere - ni wazi sana kwamba Nyerere angekuwa hai Kikwete asingekuwa raisi wa Tanzania hata kwa dawa. Tatizo lilikuja pale ambapo Kikwete na Mkapa walijua hili.
  2. Ali Juma - alionekana wazi kwamba alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa raisi baada ya Mkapa, na hivyo kuzuia fursa ya mtu
  3. Membe - bado alikuwa tishio, ukizingatia siri alizozijua na kwamba bado alikuwa na nia ya kuwa raisi. Genge halikupenda uwepo wake
  4. Mkapa - ilifikia mahali Mkapa alijua mengi kuliko ilivyotakiwa na genge, na alianza kuonyesha regrets juu ya yale aliyolisaidia genge huko nyuma, na kukawa na hofu anaweza kuanza kuongea mengi yatakayoliathiri genge
  5. Magufuli - Alianza kulivuruga hili genge na kuirudisha nchi kwenye mstari. Wakati wake nguvu ya hili genge ilipotea kabisa kwa sababu hakulipa fursa ya ku-influence maamuzi kuhusu Tanzania. Na alichua uhai wake ulikuwa hatarini
  6. Ndugai - aliendelea kuwa mpinanaji wa chinichini dhidi ya genge, na kushauriwa apigane akiwa ndani badala ya nje. Alionekana kuwa mu hatari kwa maslahi ya genge
Kuna wimbo wa zamani uliimbwa na Balisidaya kama sikosei - kwamba "ni mashaka yangalipo, wema hawana maisha"

Kuna watu ambao waliponea tundu la sindano dhidi ya hili genge - watu kama Prof. Mwndosya na Dr. Mwakyembe. Wanaelewa nguvu za hili genge. Leo wapo hai kwa kudra tu.

Kwa sasa nina mashaka sana na maisha ya wema wachache waliobaki nchini - kina Polepole, Lissu, Wariona, Butiku, Tibaijuka, nk
 
Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.

Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi wanamchukia sana. Tanzania imekamatwa sana na genge hili linalotia watu waliokuwa wakuu wa nchi, wafanya biashara na viongozi mbalimbali wa dola hususa vyombo vya usalama.

Tanzania imefikia mahali ambapo unaweza kuona wazi kabisa kwamba tunaongozwa na kikundi cha namna ya Mafia ya Marekani au Urusi Tunaongozwa na watu wachafu wasio na aibu katika kufanya uovu, wamjejaa ufisadi, ukatili na hata hawaogopi kuua! Hawa ndio watu wanaweza kutoa majibu kama kupokea fedha chafu kwa ajili ya CCM hakuna ubaya kwa sababu wao ni wachafu kuliko hata hao wanaowapa fedha!

Tunaongozwa na genge la wahalifu lisilojali miiko au maadili yeyote ya uongozi, na kinachosikitisha ni kwamba kuna watanzania wengi wajinga sana wanalidhangilia hili genge, aidha kwa kutokujua au kwa sababu wanafaidika kibinafsi na genge hili la waovu, ambalo wengine wao wala sio wanachama wa CCM bali wanaitumia CCM.

Mtanzania yeyote anaepingana na yake Polepole anaeleza aidha ni mjinga sana au nae ana damu ya uovu kama hili genge la Mafia lililoshikilia nchi kwa sana. Polepole anapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania alie mwadilifu na anaeitakia nchi yetu mambo mema.

Kama hauko na Polepole, uko na genge la wahuni, mafia wa Tanzania, na huo ndio ukweli.
wanaomchukia Polepole ndio wale watesi wa Taifa.

#kataa wahuni#
 
Ndo maana wameshindwa kujibu hoja zake wanatapatapa tu

Nasubiri awamubya 4 amesema ataongea na watu watashikana mashati🤣
 
Hadi sasa waliojibu ni vibwengo tu, hawana lolote. Kina Mwashambwa? Na kuha muhuni mmoja kajibu out of point kabisa, eti Polepole ni mwanaharakati
 
Heshimaapofikiria uwezo na nguvu ya hili genge, kila kifo cha kiongozi wa Tanzania nakitilia shaka, kama ifuatavyo, all it consppiracy theory, but it is what it is;
  1. Nyerere - ni wazi sana kwamba Nyerere angekuwa hai Kikwete asingekuwa raisi wa Tanzania hata kwa dawa. Tatizo lilikuja pale ambapo Kikwete na Mkapa walijua hili.
  2. Ali Juma - alionekana wazi kwamba alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa raisi baada ya Mkapa, na hivyo kuzuia fursa ya mtu
  3. Membe - bado alikuwa tishio, ukizingatia siri alizozijua na kwamba bado alikuwa na nia ya kuwa raisi. Genge halikupenda uwepo wake
  4. Mkapa - ilifikia mahali Mkapa alijua mengi kuliko ilivyotakiwa na genge, na alianza kuonyesha regrets juu ya yale aliyolisaidia genge huko nyuma, na kukawa na hofu anaweza kuanza kuongea mengi yatakayoliathiri genge
  5. Magufuli - Alianza kulivuruga hili genge na kuirudisha nchi kwenye mstari. Wakati wake nguvu ya hili genge ilipotea kabisa kwa sababu hakulipa fursa ya ku-influence maamuzi kuhusu Tanzania. Na alichua uhai wake ulikuwa hatarini
  6. Ndugai - aliendelea kuwa mginanaji wa chinichini dhidi ya genge, na kushauriwa apigane akiwa ndani badala ya nje. Alionekana kuwa mu hatari kwa maslahi ya genge
Kuna wimbo wa zamani uliimbwa na Balisidaya kama sikosei - kwamba "ni mashaka yangalipo, wema hawana maisha"

Kuna watu ambao waliponea tundu la sindano dhidi ya hili genge - watu kama Prof. Mwndosya na Dr. Mwakyembe. Wanaelewa nguvu za hili genge. Leo wapo hai kwa kudra tu.

Kwa sasa nina mashaka sana na maisha ya wema wachache waliobaki nchini - kina Polepole, Lissu, Wariona, Butiku, Tibaijuka, nk
Heshima yako mkuu. Jibu ni moja tu, ni lazima tukae tayari na tukubali kuyapoteza maisha yetu kwa ajiri ya kulikomboa Taifa hili. Ni lazima wapatikane watu wenye kuweza kutusaidia kama Taifa na wasioogopa hata kufa na ikibidi kujitoa kwa masrahi ya wengi.

System imetekwa na nchi inavunwa mchana kweupe, hii ni mbaya. Tutakuja kuwaambia nini watoto na wajukuu wetu kwamba sie tuliwwjibika wapi?.

Watanzania tuamke tusimame tulitetee Taifa letu
 
Naona tayari kuna tatizo Mkuu, unaposema ni lazima wapatikane watu wenye kuweza kutusaidia kama taifa na wasioogopa haha kufa; kwa ni i isiwe lazima tuwe tayari na kutoogopa hata kufa - kwa nini uelekeze kwa wengine?

Tanzania tuna tatizo moja, tunataka matunda ya haki na usawa, lakini tunataka tuwe wale watakaofaidika na matunda hayo baada ya wengine kuyapigania na hata kufa kwa ajili yetu!
 
Si unajua kila jambo lazima wawepo wawili hivi wa kuanza nalo. Hawa watakuwa wana mbinu na wameshiba maarifa ndo maana nasema hivi maana hizi mambo si kila mtu anaweza kuwa informed na maandalizi ya kina kumbuka unahit wanakoshinda makaburu hivyo si rahisi hivihivi. Sasa wakipatika hao maanake hata mie naweza kuongezeka nikawa wa tatu na wa nne akaja ndo ikawa tena
 
Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.

Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi wanamchukia sana. Tanzania imekamatwa sana na genge hili linalotia watu waliokuwa wakuu wa nchi, wafanya biashara na viongozi mbalimbali wa dola hususa vyombo vya usalama.

Tanzania imefikia mahali ambapo unaweza kuona wazi kabisa kwamba tunaongozwa na kikundi cha namna ya Mafia ya Marekani au Urusi Tunaongozwa na watu wachafu wasio na aibu katika kufanya uovu, wamjejaa ufisadi, ukatili na hata hawaogopi kuua! Hawa ndio watu wanaweza kutoa majibu kama kupokea fedha chafu kwa ajili ya CCM hakuna ubaya kwa sababu wao ni wachafu kuliko hata hao wanaowapa fedha!

Tunaongozwa na genge la wahalifu lisilojali miiko au maadili yeyote ya uongozi, na kinachosikitisha ni kwamba kuna watanzania wengi wajinga sana wanalidhangilia hili genge, aidha kwa kutokujua au kwa sababu wanafaidika kibinafsi na genge hili la waovu, ambalo wengine wao wala sio wanachama wa CCM bali wanaitumia CCM.

Mtanzania yeyote anaepingana na yake Polepole anaeleza aidha ni mjinga sana au nae ana damu ya uovu kama hili genge la Mafia lililoshikilia nchi kwa sana. Polepole anapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania alie mwadilifu na anaeitakia nchi yetu mambo mema.

Kama hauko na Polepole, uko na genge la wahuni, mafia wa Tanzania, na huo ndio ukweli.
IMG-20250814-WA0039.jpg
 
Utasikia ametutoka.
 
Hizi pesa kwani hawa wafanyabiashara watazirudishaje?
Ni kweli wanazitoa ktk biashara halali?
Nchi yetu ipo ktk mtaaziko mkali sana!
 
Hilo swali aliwahi kuuuliza Nyerere - lakini CCM ya sasa imekuwa ya viziwi.

Tajiri anakupa hela, unafikiri ni bure? Utazirudishaje? Yeye anajua na atakuja kuzidai indirectly na atahakikisha anazipata na faida
 
Mijitu myeusi bado migonjwa vichwani hasa hao wanaodhani hii nchi ilitoka tumboni kwa mama zao na kujimilikisha.
 
Polepole yuko wapi? Hivi Watanzania hatujali hili? Mbona tunakuwa nyumbu sana, mmoja wetu anadakwa na simba tunatoa macho kumtazama simba anavyomla?

Ukisomahii comment usiseme lolote wewe ni nyumbu, next ni wewe wa kuliwa.
 
Back
Top Bottom