Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Amesema CCM inakaribia kutekwa na wanamtandao - labda hapo tu ndio nitamsahihisha.Polepole yupo sahihi
Ccm imeshatekwa na sijamuona mwana ccm mwenye ubavu kwa sasa kuwaondoa hao so called wanamtandao.Amesema CCM inakaribia kutekwa na wanamtandao - labda hapo tu ndio nitamsahihisha.
CCM imeshatekwa na wanamtandao!
Na inasikitisha sana kwamba inaonekana kama hata Samia ameukubali ukweli huu kwamba bila wana Mtandao hawezi ku-survive, na kuchukua msimamo kwamba "if you cant beat them join them". Mara nyingine nadhani Samia ni mtu wa kuhurumiwa kuliko kulaumiwa. She is not is self control mode right now.
Nchimbi yeye anadhani atapambana akiwa ndani dhidi ya hili genge, na kuwa kwake makamu wa raisi itakuwa mwanzo wa mpambano huo. Namtahadharisha - Nchimbo dont underestimate the powers and reach of this gang!
wanaomchukia Polepole ndio wale watesi wa Taifa.Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.
Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi wanamchukia sana. Tanzania imekamatwa sana na genge hili linalotia watu waliokuwa wakuu wa nchi, wafanya biashara na viongozi mbalimbali wa dola hususa vyombo vya usalama.
Tanzania imefikia mahali ambapo unaweza kuona wazi kabisa kwamba tunaongozwa na kikundi cha namna ya Mafia ya Marekani au Urusi Tunaongozwa na watu wachafu wasio na aibu katika kufanya uovu, wamjejaa ufisadi, ukatili na hata hawaogopi kuua! Hawa ndio watu wanaweza kutoa majibu kama kupokea fedha chafu kwa ajili ya CCM hakuna ubaya kwa sababu wao ni wachafu kuliko hata hao wanaowapa fedha!
Tunaongozwa na genge la wahalifu lisilojali miiko au maadili yeyote ya uongozi, na kinachosikitisha ni kwamba kuna watanzania wengi wajinga sana wanalidhangilia hili genge, aidha kwa kutokujua au kwa sababu wanafaidika kibinafsi na genge hili la waovu, ambalo wengine wao wala sio wanachama wa CCM bali wanaitumia CCM.
Mtanzania yeyote anaepingana na yake Polepole anaeleza aidha ni mjinga sana au nae ana damu ya uovu kama hili genge la Mafia lililoshikilia nchi kwa sana. Polepole anapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania alie mwadilifu na anaeitakia nchi yetu mambo mema.
Kama hauko na Polepole, uko na genge la wahuni, mafia wa Tanzania, na huo ndio ukweli.
Kuna usemi wa Waingereza "show me your friend I will say what you are"wanaomchukia Polepole ndio wale watesi wa Taifa.
#kataa wahuni#
Ndo maana wameshindwa kujibu hoja zake wanatapatapa tuUkweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.
Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi wanamchukia sana. Tanzania imekamatwa sana na genge hili linalotia watu waliokuwa wakuu wa nchi, wafanya biashara na viongozi mbalimbali wa dola hususa vyombo vya usalama.
Tanzania imefikia mahali ambapo unaweza kuona wazi kabisa kwamba tunaongozwa na kikundi cha namna ya Mafia ya Marekani au Urusi Tunaongozwa na watu wachafu wasio na aibu katika kufanya uovu, wamjejaa ufisadi, ukatili na hata hawaogopi kuua! Hawa ndio watu wanaweza kutoa majibu kama kupokea fedha chafu kwa ajili ya CCM hakuna ubaya kwa sababu wao ni wachafu kuliko hata hao wanaowapa fedha!
Tunaongozwa na genge la wahalifu lisilojali miiko au maadili yeyote ya uongozi, na kinachosikitisha ni kwamba kuna watanzania wengi wajinga sana wanalidhangilia hili genge, aidha kwa kutokujua au kwa sababu wanafaidika kibinafsi na genge hili la waovu, ambalo wengine wao wala sio wanachama wa CCM bali wanaitumia CCM.
Mtanzania yeyote anaepingana na yake Polepole anaeleza aidha ni mjinga sana au nae ana damu ya uovu kama hili genge la Mafia lililoshikilia nchi kwa sana. Polepole anapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania alie mwadilifu na anaeitakia nchi yetu mambo mema.
Kama hauko na Polepole, uko na genge la wahuni, mafia wa Tanzania, na huo ndio ukweli.
Hadi sasa waliojibu ni vibwengo tu, hawana lolote. Kina Mwashambwa? Na kuha muhuni mmoja kajibu out of point kabisa, eti Polepole ni mwanaharakatiNdo maana wameshindwa kujibu hoja zake wanatapatapa tu
Nasubiri awamubya 4 amesema ataongea na watu watashikana mashati🤣
Heshima yako mkuu. Jibu ni moja tu, ni lazima tukae tayari na tukubali kuyapoteza maisha yetu kwa ajiri ya kulikomboa Taifa hili. Ni lazima wapatikane watu wenye kuweza kutusaidia kama Taifa na wasioogopa hata kufa na ikibidi kujitoa kwa masrahi ya wengi.Heshimaapofikiria uwezo na nguvu ya hili genge, kila kifo cha kiongozi wa Tanzania nakitilia shaka, kama ifuatavyo, all it consppiracy theory, but it is what it is;
Kuna wimbo wa zamani uliimbwa na Balisidaya kama sikosei - kwamba "ni mashaka yangalipo, wema hawana maisha"
- Nyerere - ni wazi sana kwamba Nyerere angekuwa hai Kikwete asingekuwa raisi wa Tanzania hata kwa dawa. Tatizo lilikuja pale ambapo Kikwete na Mkapa walijua hili.
- Ali Juma - alionekana wazi kwamba alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa raisi baada ya Mkapa, na hivyo kuzuia fursa ya mtu
- Membe - bado alikuwa tishio, ukizingatia siri alizozijua na kwamba bado alikuwa na nia ya kuwa raisi. Genge halikupenda uwepo wake
- Mkapa - ilifikia mahali Mkapa alijua mengi kuliko ilivyotakiwa na genge, na alianza kuonyesha regrets juu ya yale aliyolisaidia genge huko nyuma, na kukawa na hofu anaweza kuanza kuongea mengi yatakayoliathiri genge
- Magufuli - Alianza kulivuruga hili genge na kuirudisha nchi kwenye mstari. Wakati wake nguvu ya hili genge ilipotea kabisa kwa sababu hakulipa fursa ya ku-influence maamuzi kuhusu Tanzania. Na alichua uhai wake ulikuwa hatarini
- Ndugai - aliendelea kuwa mginanaji wa chinichini dhidi ya genge, na kushauriwa apigane akiwa ndani badala ya nje. Alionekana kuwa mu hatari kwa maslahi ya genge
Kuna watu ambao waliponea tundu la sindano dhidi ya hili genge - watu kama Prof. Mwndosya na Dr. Mwakyembe. Wanaelewa nguvu za hili genge. Leo wapo hai kwa kudra tu.
Kwa sasa nina mashaka sana na maisha ya wema wachache waliobaki nchini - kina Polepole, Lissu, Wariona, Butiku, Tibaijuka, nk
Naona tayari kuna tatizo Mkuu, unaposema ni lazima wapatikane watu wenye kuweza kutusaidia kama taifa na wasioogopa haha kufa; kwa ni i isiwe lazima tuwe tayari na kutoogopa hata kufa - kwa nini uelekeze kwa wengine?Heshima yako mkuu. Jibu ni moja tu, ni lazima tukae tayari na tukubali kuyapoteza maisha yetu kwa ajiri ya kulikomboa Taifa hili. Ni lazima wapatikane watu wenye kuweza kutusaidia kama Taifa na wasioogopa hata kufa na ikibidi kujitoa kwa masrahi ya wengi.
System imetekwa na nchi inavunwa mchana kweupe, hii ni mbaya. Tutakuja kuwaambia nini watoto na wajukuu wetu kwamba sie tuliwwjibika wapi?.
Watanzania tuamke tusimame tulitetee Taifa letu
Si unajua kila jambo lazima wawepo wawili hivi wa kuanza nalo. Hawa watakuwa wana mbinu na wameshiba maarifa ndo maana nasema hivi maana hizi mambo si kila mtu anaweza kuwa informed na maandalizi ya kina kumbuka unahit wanakoshinda makaburu hivyo si rahisi hivihivi. Sasa wakipatika hao maanake hata mie naweza kuongezeka nikawa wa tatu na wa nne akaja ndo ikawa tenaNaona tayari kuna tatizo Mkuu, unaposema ni lazima wapatikane watu wenye kuweza kutusaidia kama taifa na wasioogopa haha kufa; kwa ni i isiwe lazima tuwe tayari na kutoogopa hata kufa - kwa nini uelekeze kwa wengine?
Tanzania tuna tatizo moja, tunataka matunda ya haki na usawa, lakini tunataka tuwe wale watakaofaidika na matunda hayo baada ya wengine kuyapigania na hata kufa kwa ajili yetu!
Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.
Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi wanamchukia sana. Tanzania imekamatwa sana na genge hili linalotia watu waliokuwa wakuu wa nchi, wafanya biashara na viongozi mbalimbali wa dola hususa vyombo vya usalama.
Tanzania imefikia mahali ambapo unaweza kuona wazi kabisa kwamba tunaongozwa na kikundi cha namna ya Mafia ya Marekani au Urusi Tunaongozwa na watu wachafu wasio na aibu katika kufanya uovu, wamjejaa ufisadi, ukatili na hata hawaogopi kuua! Hawa ndio watu wanaweza kutoa majibu kama kupokea fedha chafu kwa ajili ya CCM hakuna ubaya kwa sababu wao ni wachafu kuliko hata hao wanaowapa fedha!
Tunaongozwa na genge la wahalifu lisilojali miiko au maadili yeyote ya uongozi, na kinachosikitisha ni kwamba kuna watanzania wengi wajinga sana wanalidhangilia hili genge, aidha kwa kutokujua au kwa sababu wanafaidika kibinafsi na genge hili la waovu, ambalo wengine wao wala sio wanachama wa CCM bali wanaitumia CCM.
Mtanzania yeyote anaepingana na yake Polepole anaeleza aidha ni mjinga sana au nae ana damu ya uovu kama hili genge la Mafia lililoshikilia nchi kwa sana. Polepole anapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania alie mwadilifu na anaeitakia nchi yetu mambo mema.
Kama hauko na Polepole, uko na genge la wahuni, mafia wa Tanzania, na huo ndio ukweli.
Utasikia ametutoka.Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.
Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi wanamchukia sana. Tanzania imekamatwa sana na genge hili linalotia watu waliokuwa wakuu wa nchi, wafanya biashara na viongozi mbalimbali wa dola hususa vyombo vya usalama.
Tanzania imefikia mahali ambapo unaweza kuona wazi kabisa kwamba tunaongozwa na kikundi cha namna ya Mafia ya Marekani au Urusi Tunaongozwa na watu wachafu wasio na aibu katika kufanya uovu, wamjejaa ufisadi, ukatili na hata hawaogopi kuua! Hawa ndio watu wanaweza kutoa majibu kama kupokea fedha chafu kwa ajili ya CCM hakuna ubaya kwa sababu wao ni wachafu kuliko hata hao wanaowapa fedha!
Tunaongozwa na genge la wahalifu lisilojali miiko au maadili yeyote ya uongozi, na kinachosikitisha ni kwamba kuna watanzania wengi wajinga sana wanalidhangilia hili genge, aidha kwa kutokujua au kwa sababu wanafaidika kibinafsi na genge hili la waovu, ambalo wengine wao wala sio wanachama wa CCM bali wanaitumia CCM.
Mtanzania yeyote anaepingana na yake Polepole anaeleza aidha ni mjinga sana au nae ana damu ya uovu kama hili genge la Mafia lililoshikilia nchi kwa sana. Polepole anapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania alie mwadilifu na anaeitakia nchi yetu mambo mema.
Kama hauko na Polepole, uko na genge la wahuni, mafia wa Tanzania, na huo ndio ukweli.
Hilo swali aliwahi kuuuliza Nyerere - lakini CCM ya sasa imekuwa ya viziwi.Hizi pesa kwani hawa wafanyabiashara watazirudishaje?
Ni kweli wanazitoa ktk biashara halali?
Nchi yetu ipo ktk mtaaziko mkali sana!