Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Unajua taratibu za rufaa? Mfano wako hauko relevant. Mpuuzi mkubwaWewe kweli changi wa malunde
Nini kilitangulia kati ya kufukuzwa uanachama, kutolewa bungeni na kwenda mahakamani????.
Ivi jambazi akiwa jela huku anatumika kufungua Afu akaamua kukata rufaa huwa anatolewa kwanz jela rufaa yake ikisikilizwa?
Badala ya kuniita mpuuzi mkubwa ungeelezea hizo taratibu za rufaa ili siku nyingine nisiwe mpuuzi. Vinginevyo unadhihirisha uchangu wako.Unajua taratibu za rufaa? Mfano wako hauko relevant. Mpuuzi mkubwa
Acheni kujitia wajuaji kwa kila kitu, sasa kama bado wako bungeni, wanataka haki gani?Unajua taratibu za rufaa? Mfano wako hauko relevant. Mpuuzi mkubwa
Uliwauliza wanakuita na kukutukana badala ya kujenga hoja!Acheni kujitia wajuaji kwa kila kitu, sasa kama bado wako bungeni, wanataka haki gani?
Soma ibara ya 107A(1)Acheni kujitia wajuaji kwa kila kitu, sasa kama bado wako bungeni, wanataka haki gani?
Ulishaona mtu kapigwa mvua akikata rufaa anaachiwa papo hapo?Badala ya kuniita mpuuzi mkubwa ungeelezea hizo taratibu za rufaa ili siku nyingine nisiwe mpuuzi. Vinginevyo unadhihirisha uchangu wako.
Matusi hayasaidii sana.
Unachokisema wewe ni kuhalalisha uvunjifu wa sheria! Unafanya hivyo kwa sababu unazozijua na wanaokutuma ! Japo mm siyo mpuuzi kama unavyoniita.Ulishaona mtu kapigwa mvua akikata rufaa anaachiwa papo hapo?
Lini ilitoa?Kwani Mahakama kuu haijatoa maamuzi
Labda itakuwa walichelewa kukata rufaa. Au kupinga kutimuliwaUnachokisema wewe ni kuhalalisha uvunjifu wa sheria! Unafanya hivyo kwa sababu unazozijua na wanaokutuma ! Japo mm siyo mpuuzi kama unavyoniita.
Alifukuzwa wabunge kina Ngwali wa Cuf pale bungeni. Waliachwa waendelee na ubunge huku rufaa zao zikisikilizwa?
Ule wa tarehe 22 ulikuwa uamuzi wa nn basi?Lini ilitoa?
Kuna mahala High court imesema sio wabunge?Ule wa tarehe 22 ulikuwa uamuzi wa nn basi?
Hawakuchelewa kukata rufaa. Lengo la siasa za wakati huo ilikuwa ni kukigawa Cuf lipumba na maalimuLabda itakuwa walichelewa kukata rufaa. Au kupinga kutimuliwa
Mimi nazungumzia katiba inavyosema. Hayo mengine weka ushahidi hapa sio kuaharisha maneno praaaaaaHawakuchelewa kukata rufaa. Lengo la siasa za wakati huo ilikuwa ni kukigawa Cuf lipumba na maalimu
Sisi sote ni watanzania tunafuatilia mambo tupo hapa hapa nchini na shule tulienda bila kufeli wala kuiba mitihani.
Nasari alifukuzwa ubunge na alienda mahakamani? Aliruhusiwa kuingia bungeni akingoja maamuzi ya mahakama?
Waliosema wanaziacha mamlaka nyingine zifanye kazi zao wewe mwenye akili ulielewa nn?Kuna mahala High court imesema sio wabunge?
Wapi? Weka hapa huo ushahidi?Waliosema wanaziacha mamlaka nyingine zifanye kazi zao wewe mwenye akili ulielewa nn?
Tatizo Tanzania kila kitu tunafanya kisiasaLini ilitoa?
Niweke ushahidi wa picha labda! Najua unajua ila unajifurahisha tu. Wale wabunge wa Cuf waliruhusiwa kukaa bungeni huku wakisubir uamuzi wa mahakama?Mimi nazungumzia katiba inavyosema. Hayo mengine weka ushahidi hapa sio kuaharisha maneno praaaaaa
Ushahidi? Ulitaka sasa niweke na hukumu ya mahakama labdaWapi? Weka hapa huo ushahidi?