Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
acha kusumbua watu hapa.. wewe hupendi pesa?? watu wote duniani wanapenda pesa .. nani hapendi?? mlete hapa ashuhudie kuwa hapendi na hatumii pesa.usitake kumchanganya huyu dada yetu hapayap hata mm nataka ujue mm ni mtu wa aina gani 4 sure umenikera ulipodhalilisha wanawake na kusema mnapenda pesa.Kauli kama hiyo ilitakiwa ailete mwanaume then wewe kama mdada ndio upinge bt cha ajabu wewe tena ndo unaleta kauli za kujidhalilisha kama hizo.Acha kujidhalilisha mdada na kupenda pesa mdada lol.Madem wangapi wanapesa na wameolewa na wanaume masikini tu.Au ma men wangapi wanapesa na wanamegewa madem zako na wanaume wa vijiweni tu ambao hawana mali.Japo ckujui bt nishajua wewe ni mdada wa aina gani.Count my words.