Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
sio fujo dogo naona anaendelea kuingia machaka .. nimeona nimpe swagga langu moja tu ili anyamzave asiendelee kutujazia saver hapa.. yeye anatuletea mipicha amepiga kwenye mawe huko? akiletewa picha za mbele si atakaa chini? ok this hapo down ni bongo dsm...na namshauri dogo kwa umri wake anatakiwa bado apige kitabu kama mimi siwezi kumpa dada yangu kwa sababu atamlaza njaa ... i dont see anything interesting from him .. now days mapenzi bila pesa sio kitu dogo should know this na wewe mtu wangu afro d unavyo mshadadia dogo ndio utasababisha atuwekee na picha za kijijini kwa bibi yake hapa na unampoteza mwenzako ujue .. tell him the truth.. he sholud make money like cash money ..nothing impossible under the sun.Acha fujo ..
tusije kunyimana bure....
wa dada nimeweka picha za skani kwangu ila sitaki m ni pm mm najaribu tu kumuweka dogo sawa ok?
dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?