Sijaona mwanaume mwenye vigezo vya kunizalisha, Walio wengi ni matapeli

Sijaona mwanaume mwenye vigezo vya kunizalisha, Walio wengi ni matapeli

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
1.png

Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’
amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona
mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto
kwani wote anawaona ni tapeli wa mapenzi.
Akizungumza nasi hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu
anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu
anayeweza kupata naye mtoto ndipo ugumu unapokuja.
 
Sasa kama yy ni tapeli si lazima azungukwe na matapeli!
 
Hii ni njia mojawapo ya kujipoza machungu ya kutendwa!! Pia ni njia mojawapo ya kuwaita madume wajongelee mzigo
 
filamu zao hazina hadhi hata wao hawana hadhi.mwaume wenye hadhi utampata wapi.hadhi yenu ni matapeli tu...
 
Mmh huyu si kagonga 50 ina maana had Leo hajazaa? Duh na atakayezaa nae ana moyo na ubonge huo
 
Kama ni shida ya mtoto si azae hata na vichaa wao sio matapeli,!!!azae alee mwenyewe,!!!
 
Hapo anajinadi tu hana lolote,miguu yenyewe kama Gatuso.
 
1.png

Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya'
amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona
mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto
kwani wote anawaona ni tapeli wa mapenzi.
Akizungumza nasi hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu
anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu
anayeweza kupata naye mtoto ndipo ugumu unapokuja.

demu mwenyewe tipwa tipwa hvyo, miguu imekomaa kama anafanya kazi usangu, halafu lazima atakuwa mfupi sANA
 
Back
Top Bottom