figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho Maya
amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona
mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto
kwani wote anawaona ni tapeli wa mapenzi.
Akizungumza nasi hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu
anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu
anayeweza kupata naye mtoto ndipo ugumu unapokuja.