Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
ame sign tiyari anasubiri kutangazwa tuHayupo kwenye mipango ya simba na wala hafafatwa kwa ajili ya mazungumzo.
Siku atakayotangazwa tukutane tena hapa hapa mkuu.ame sign tiyari anasubiri kutangazwa tu
Sawa mkuu mi nasevu comment yako hiiSiku atakayotangazwa tukutane tena hapa hapa mkuu.
Nilisema hili wakati wa Afcon KAHATA wa kawaida sanaTimu yangu Simba sc achaneni na kahata sijaona ubora wake, Katika mechi ya kwanza nilihis labda kwakuwa Algeria ni bora kuliko Kenya Lakini hata Jana alikuwa hivyo tu hadi kutolewa mapema kipindi cha kwanza sioni akitusaidia
Vipi kwani amejifunga?.. ligi ndio inaanza na yeye hajapata muda mwingi wa kuchezaNilisema hili wakati wa Afcon KAHATA wa kawaida sana
"A good player cannot be a bad player overnight" Arsene Wenger.Nilisema hili wakati wa Afcon KAHATA wa kawaida sana
Also "a bad player cannot be a good player overnight""A good player cannot be a bad player overnight" Arsene Wenger.
Mchezaji kua bora inategemeana na mfumo wa mwalimu mimi bado nahamin kua Kahata nibora! kwasababu huwezi kumchambua mchezaj kwenye mech 4 tu wakat ligi bado kuna mechi zaid ya 30Also "a bad player cannot be a good player overnight"
Huyu bwana mimi sikuwahi kumuona akicheza gormahia lakini nilipomuona afcon nilitilia mashaka kiwango chake na mpaka sasa ameshindwa kuingia katika first eleven ya simba na hata akiingia sub huoni impact yoyote