Sijaona ubora wa Francis Kahata

Sijaona ubora wa Francis Kahata

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Timu yangu Simba sc achaneni na kahata sijaona ubora wake, Katika mechi ya kwanza nilihis labda kwakuwa Algeria ni bora kuliko Kenya Lakini hata Jana alikuwa hivyo tu hadi kutolewa mapema kipindi cha kwanza sioni akitusaidia
 
Mmh,wakikusikia wenzio utatamani kuufuta huu uzi mkuu,I swear,have a nice morning.
 
Kwaiyo mechi mbili tu ndo zimetosha kwa wewe kuhitimisha kwamba ni mbovu.

Kwa analysis kama izo basi wachezaji wangekuwa hawasajiliwi.
 
Simba ndio watajua wamtumieje sio wewe ambae hata gulori hujui kucheza
 
Timu yangu Simba sc achaneni na kahata sijaona ubora wake, Katika mechi ya kwanza nilihis labda kwakuwa Algeria ni bora kuliko Kenya Lakini hata Jana alikuwa hivyo tu hadi kutolewa mapema kipindi cha kwanza sioni akitusaidia
Nilisema hili wakati wa Afcon KAHATA wa kawaida sana
 
"A good player cannot be a bad player overnight" Arsene Wenger.
Also "a bad player cannot be a good player overnight"

Huyu bwana mimi sikuwahi kumuona akicheza gormahia lakini nilipomuona afcon nilitilia mashaka kiwango chake na mpaka sasa ameshindwa kuingia katika first eleven ya simba na hata akiingia sub huoni impact yoyote
 
Mchezaji kua bora inategemeana na mfumo wa mwalimu mimi bado nahamin kua Kahata nibora! kwasababu huwezi kumchambua mchezaj kwenye mech 4 tu wakat ligi bado kuna mechi zaid ya 30
 
Back
Top Bottom