Sijaona uwezo mkubwa wa Jude Bellingham, hiyo Ballon d’or ni bora apewe Vini Jr

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or

Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.

Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.

Jude ana kipi haswa cha maana?
 
🫡
 
Kwa ubaguzi walionao sio rahisi sana kwa vin Jr maana amekutana na ubaguzi mkubwa wa rangi japo wote ni ma black
 
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or

Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.

Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.

Jude ana kipi haswa cha maana?
Kuna watu mnafikiria Jude na Vini kupewa Balon d or badala ya Toni Kroos ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna copa amerca ujue ,mchezaji atakayesaidia team yake kubeba copa amerca au euro ndio atabeba balon dor wakibeba ufaransa mbape atapewa mzigo huo,itajirudia ya messi na copa amerca
Ndio kitu naamini ,Mbape akichukua TU anapewa Balon Ile Copa America ilikuwa inapewa nguvu na uwepo wa Messi
 
Back
Top Bottom