Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
🫡Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.
Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.
Jude ana kipi haswa cha maana?
Kwa ubaguzi walionao sio rahisi sana kwa vin Jr maana amekutana na ubaguzi mkubwa wa rangi japo wote ni ma blackKumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.
Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.
Jude ana kipi haswa cha maana?
UEFA gani tena?Nadhani atakae saidia team yake kubeba euro Germany atastahili UEFA kati ya Mbape na Jude
Balon typing errorUEFA gani tena?
Kuna watu mnafikiria Jude na Vini kupewa Balon d or badala ya Toni Kroos ?Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.
Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.
Jude ana kipi haswa cha maana?
Waingereza ndivyo walivyo, kusifia vya kwao.Kuna sehemu nimeona BBC walikuwa wanamlinganisha na Zidane... nafikiri nimezeeka sana dunia inaenda kasi
Vipi Toni Kroos ?Upande wa La liga Jude amechangia pakubwa ubingwa wa Real Madrid I think mashindano ya Euro na Copa America yata amua nani mshindi kati ya Mbappe, Vinni na Jude
Kuna copa amerca ujue ,mchezaji atakayesaidia team yake kubeba copa amerca au euro ndio atabeba balon dor wakibeba ufaransa mbape atapewa mzigo huo,itajirudia ya messi na copa amercaNadhani atakae saidia team yake kubeba euro Germany atastahili UEFA kati ya Mbape na Jude
Media za uingereza izo zinawa-decorate sana wachezaji wao,Kuna sehemu nimeona BBC walikuwa wanamlinganisha na Zidane... nafikiri nimezeeka sana dunia inaenda kasi
Vipi copa america haina uzito?Nadhani atakae saidia team yake kubeba euro Germany atastahili UEFA kati ya Mbape na Jude
Ina uzito ila huwa naona ni kwa Mess hata hao wote wanapata ballon ni vile wanacheza Ulaya wakienda America Wala hawapati tuzo ndio maana naamini Euro itaamua zaidi nani awe mchezaji boraVipi copa america haina uzito?
Ndio kitu naamini ,Mbape akichukua TU anapewa Balon Ile Copa America ilikuwa inapewa nguvu na uwepo wa MessiKuna copa amerca ujue ,mchezaji atakayesaidia team yake kubeba copa amerca au euro ndio atabeba balon dor wakibeba ufaransa mbape atapewa mzigo huo,itajirudia ya messi na copa amerca
Ni sahihi, huwezi mlinganisha na Jude.Ila VINI Jr ana balaa yule dogo 🔥🔥