Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Yap ni kweli mkuu acha tusubiri tuone. Ntafurahi akipewa mmoja wapo kati ya mbappe na viniciousIna uzito ila huwa naona ni kwa Mess hata hao wote wanapata ballon ni vile wanacheza Ulaya wakienda America Wala hawapati tuzo ndio maana naamini Euro itaamua zaidi nani awe mchezaji bora
Mimi sio mpenzi wa haya matunzo binafsi sababu mpira ni team kubwa sana wanachangia mafanikio lakini, sababu hizi ndio tamaduni zimekuwa ngoja nitoe maoni yangu. Kuna wale wachezaji michango yao ni mikubwa sana ni kama wakati ule Messi yuko top siku akiumwa basi Barca wanapoteza ule ukali unaona pengo, Kina Ronaldo, Iniesta na wengine huko nyuma real stars. Kwa hawa waliopo wachezaji wazuri lakini bado mmoja atokeze anyoshe kidole juu ajitofautishe na wenzake nadhani bado.Upande wa La liga Jude amechangia pakubwa ubingwa wa Real Madrid I think mashindano ya Euro na Copa America yata amua nani mshindi kati ya Mbappe, Vinni na Jude
Utashangaa wanamlinganisha na Oliseh wa Crystal majamaa hayashindwiHadi sasa sijaona wa kumlinganisha na Vini JR kwa hawa waliopo kwenye form dogo ana Skills na Nyavu anatikida sanaa wakinyimwa ballon dor msimu huu bhasi Ubaguzi utakuwa umevuka mipakaaa.
Japo anamachega mengi na anapoteza pass nyingi sana.Kupitia ile fainali ya jana, nadhani Vinicius Jr anastahili hiyo tuzo.
Kwa ubaguzi walionao sio rahisi sana kwa vin Jr maana amekutana na ubaguzi mkubwa wa rangi japo wote ni ma black
Ndio wako umeanzia wapiNdio upeo wako ulipoishia hapo ?
😀😀😀 waingereza utawaweza hao. Kuna sehemu niliona wanamlinganisha bellingham na zidane nikabaki nacheka tu.Utashangaa wanamlinganisha na Oliseh wa Crystal majamaa hayashindwi
Hivi mkuu Ngereza mna udugu nae?Nadhani atakae saidia team yake kubeba euro Germany atastahili UEFA kati ya Mbape na Jude
Euro 2014 keshokutwa tuu ...tusubiri tuone Bellingham ataifanyia nini national team...Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.
Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.
Jude ana kipi haswa cha maana?
Big game player✅Ila VINI Jr ana balaa yule dogo 🔥🔥
Euro 2024Euro 2014 keshokutwa tuu ...tusubiri tuone Bellingham ataifanyia nini national team...