Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Off course ni povu maana kuchukua uchezaj bora wa dunia Mara tano si mchezo haaaaaaHahaaaa
Pebadol timu yake imefika semi bila kushinda game hata moja ndani ya dk 90
CR7 kwa Messi atasubiri sana. CR7 wenzake ni akina Suarez, Neymar, Bale, et al ila siyo level ya Messi KABISA.
Wakati Leofail Missy akihukumiwa kifungo
CR 7 yuko busy ana lipekeka fainali ya EURO taifa lake na ana fikia rekod ya plantin ya mfungaji bora wa muda wote
Kelele hatupendi saa hzi
Sisi pia tuna ongea facts na huwa tuna waambia huyo si mfalme, labda kama ni mfalme wa kukimbia kodi maana kahukumiwa miez 21 kwa ukwepaji wa kodi
Mtoa mada ana mahaba tu na CR7. Na watu hawa huhama nae sasa akistaafu sijui nao watastaafu?Acha upumbavu messi hakustaafu kwasababu alikosa penalti yeye alistaafu kwa sababu ya kukosa kombe in three consecutive years.
Mkuu, mahaba ni kitu kibaya sana. Mtoa mada & co ni wafuasi wa CR7, hao ndio mashabiki wa EPL na La Liga huangalia mechi za Real Madrid tu kwa kuwa jamaa yao anachezea. Akihama huko nao watahama, cha ajabu atangaze kuja nchini kuchezea Mbao United watamfuata tu!Kiukweli una uelewa mdogo sana wa kabumbu.
Pili acha ushabiki...Lengo la huu uzi ni lipi hasa
°Kumnanga messi
°Kumsifia CR 7!?!?
Kua mtu wa mpira bhana...
Na unatakwimu zipi za kuback up claims zako kwamba Messi hakustahili tuzo mbili alizopata za uchezaji bora wa dunia.
Kama ni hivyo mashabiki wa messi unataka wao pia waseme CR 7 alistahili tuzo moja tu na zingine zilikua kwa ajili ya mbeleko!
Raha ya soka sio maneno maneno ya kwenye gahawa,njoo na takwimu spot ili tuinjoy mazungumzo.
Ukweli ni hivi wandugu
Wawiri hawa ndiyo wafalme halisi kuwahi kutokea anaebisha aombe msaada apelekwe mirembe
Leonel Andres Messi the king
View attachment 363949
View attachment 363952
The Diego Armando Maradona The King wa kweli
huyo ronaldo bado mchanga sana kufikia level ya ufalme, ukija kwa pere nae ni wakutengenezwa nimefuatiria vidiyo zake hana lolote la kuvutia!
Uwezo upi unao ongeaTatizo lenu mnafurahia afungwe ili jamaa yenu apatiamo chance lkn atasubiri mno maana hata robo hajaifikia kwa huyu kiumbe,na sijui lini atafikia uwezo wake na umri ndio huo umemtupa pole yake...
Asifikiwe kwa kitu ganiUkweli ni hivi wandugu
Wawiri hawa ndiyo wafalme halisi kuwahi kutokea anaebisha aombe msaada apelekwe mirembe
Leonel Andres Messi the king
View attachment 363949
View attachment 363952
The Diego Armando Maradona The King wa kweli
huyo ronaldo bado mchanga sana kufikia level ya ufalme, ukija kwa pere nae ni wakutengenezwa nimefuatiria vidiyo zake hana lolote la kuvutia!
Mjadala haupo kwa kuwa CR7, hana mpinzaniHuo
Huo ndio ukweli usiofichika Mkuu, na Mjadala ufungwe haraka from now
Toka lini umeona wakiandika king cr7 ???Asifikiwe kwa kitu gani
King CR7 Ndo tunaye mtambua uyo leo ni king wa ma quitter
Amekosa penalt ana kimbia kucheza looh
Toka lini umeona wakiandika king cr7 ???
Ahhaahah mpaka Portugal wanatinga fainali hawajafungwa na timu yoyote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa alaf wanampambanisha na mfalme wa soka kuwahi kutokea katika hii dunia!kama wachezaji bora duniani Maradona,Pele,Alfredo de stefano kawapita wote sembuse huyo renodo wao hahaa hawa watu waajabu mno, hawajui mpira na hiyo ndio sababu inawapelekea waropoke bila kujua wanachokiongea,
Messi ni was kawaida sana maana toka xavi na inniesta wapoteze viwango naye kapotea kabisa lol cr7 long time anatikisa duniaUmeongea point mkuu
Hahaha mbona mpovu kwa hiyo shimo lako mzeewTatizo lenu mnafurahia afungwe ili jamaa yenu apatiamo chance lkn atasubiri mno maana hata robo hajaifikia kwa huyu kiumbe,na sijui lini atafikia uwezo wake na umri ndio huo umemtupa pole yake...
Achana na mashabiki hewa hao hawajui lolote aiseee!!!! Cr7 ndiye mchezaji bora kuwahi tokea hapa duniani !! EPL .la liga. Uefa. Uefa euro ..Uwezo upi unao ongea
Ronaldo ndo mfungaji bora wa muda wotee wa EURO na UEFA champions league
Niambie una taka nini zaid
CR 7 ni mnyamaaaaa huwa hajui kukata tamaa aiseeeYes yes CR7 ni jeshi la mtu mmoja nina imani hata akikosa kombe la EURO hawezi kustaafu!!!
Uwezo upi unao ongea
Ronaldo ndo mfungaji bora wa muda wotee wa EURO na UEFA champions league
Niambie una taka nini zaid