Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

Off course ni povu maana kuchukua uchezaj bora wa dunia Mara tano si mchezo haaaaaaHahaaaa

Yasin Watanzania wengine bana ni watu waajabu sana 4 anything ,,hapo Mfalme hata apate ballon d'or 100 still watamkataa tu duh, huu sijui ni wivu wa kike tuu ama ni chuki, sielewi inakuwaje hapo
 
Pebadol timu yake imefika semi bila kushinda game hata moja ndani ya dk 90

Hahaa alaf wanampambanisha na mfalme wa soka kuwahi kutokea katika hii dunia!kama wachezaji bora duniani Maradona,Pele,Alfredo de stefano kawapita wote sembuse huyo renodo wao hahaa hawa watu waajabu mno, hawajui mpira na hiyo ndio sababu inawapelekea waropoke bila kujua wanachokiongea,
 
Wakati Leofail Missy akihukumiwa kifungo
CR 7 yuko busy ana lipekeka fainali ya EURO taifa lake na ana fikia rekod ya plantin ya mfungaji bora wa muda wote

Kelele hatupendi saa hzi

Tatizo lenu mnafurahia afungwe ili jamaa yenu apatiamo chance lkn atasubiri mno maana hata robo hajaifikia kwa huyu kiumbe,na sijui lini atafikia uwezo wake na umri ndio huo umemtupa pole yake...
 
Sisi pia tuna ongea facts na huwa tuna waambia huyo si mfalme, labda kama ni mfalme wa kukimbia kodi maana kahukumiwa miez 21 kwa ukwepaji wa kodi

Ebu tupatie hiyo facts tuione kama wewe ni kidume😛! Alaf hilo la kodi linahusiana nini na ufalme? Mbona mnaongea pumba tu
 
Kiukweli una uelewa mdogo sana wa kabumbu.
Pili acha ushabiki...Lengo la huu uzi ni lipi hasa
°Kumnanga messi
°Kumsifia CR 7!?!?
Kua mtu wa mpira bhana...
Na unatakwimu zipi za kuback up claims zako kwamba Messi hakustahili tuzo mbili alizopata za uchezaji bora wa dunia.
Kama ni hivyo mashabiki wa messi unataka wao pia waseme CR 7 alistahili tuzo moja tu na zingine zilikua kwa ajili ya mbeleko!
Raha ya soka sio maneno maneno ya kwenye gahawa,njoo na takwimu spot ili tuinjoy mazungumzo.
Mkuu, mahaba ni kitu kibaya sana. Mtoa mada & co ni wafuasi wa CR7, hao ndio mashabiki wa EPL na La Liga huangalia mechi za Real Madrid tu kwa kuwa jamaa yao anachezea. Akihama huko nao watahama, cha ajabu atangaze kuja nchini kuchezea Mbao United watamfuata tu!
 
Ukweli ni hivi wandugu

Wawiri hawa ndiyo wafalme halisi kuwahi kutokea anaebisha aombe msaada apelekwe mirembe

Leonel Andres Messi the king
Screenshot_2016-06-25-02-10-41-1.png

Screenshot_2016-03-27-21-53-57-1.png

The Diego Armando Maradona The King wa kweli

huyo ronaldo bado mchanga sana kufikia level ya ufalme, ukija kwa pere nae ni wakutengenezwa nimefuatiria vidiyo zake hana lolote la kuvutia!
 
Huo
Ukweli ni hivi wandugu

Wawiri hawa ndiyo wafalme halisi kuwahi kutokea anaebisha aombe msaada apelekwe mirembe

Leonel Andres Messi the king
View attachment 363949
View attachment 363952
The Diego Armando Maradona The King wa kweli

huyo ronaldo bado mchanga sana kufikia level ya ufalme, ukija kwa pere nae ni wakutengenezwa nimefuatiria vidiyo zake hana lolote la kuvutia!

Huo ndio ukweli usiofichika Mkuu, na Mjadala ufungwe haraka from now
 
Tatizo lenu mnafurahia afungwe ili jamaa yenu apatiamo chance lkn atasubiri mno maana hata robo hajaifikia kwa huyu kiumbe,na sijui lini atafikia uwezo wake na umri ndio huo umemtupa pole yake...
Uwezo upi unao ongea

Ronaldo ndo mfungaji bora wa muda wotee wa EURO na UEFA champions league

Niambie una taka nini zaid
 
Ukweli ni hivi wandugu

Wawiri hawa ndiyo wafalme halisi kuwahi kutokea anaebisha aombe msaada apelekwe mirembe

Leonel Andres Messi the king
View attachment 363949
View attachment 363952
The Diego Armando Maradona The King wa kweli

huyo ronaldo bado mchanga sana kufikia level ya ufalme, ukija kwa pere nae ni wakutengenezwa nimefuatiria vidiyo zake hana lolote la kuvutia!
Asifikiwe kwa kitu gani

King CR7 Ndo tunaye mtambua uyo leo ni king wa ma quitter
Amekosa penalt ana kimbia kucheza looh
 
Yes yes CR7 ni jeshi la mtu mmoja nina imani hata akikosa kombe la EURO hawezi kustaafu!!!
 
Hahaa alaf wanampambanisha na mfalme wa soka kuwahi kutokea katika hii dunia!kama wachezaji bora duniani Maradona,Pele,Alfredo de stefano kawapita wote sembuse huyo renodo wao hahaa hawa watu waajabu mno, hawajui mpira na hiyo ndio sababu inawapelekea waropoke bila kujua wanachokiongea,
Ahhaahah mpaka Portugal wanatinga fainali hawajafungwa na timu yoyote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo lenu mnafurahia afungwe ili jamaa yenu apatiamo chance lkn atasubiri mno maana hata robo hajaifikia kwa huyu kiumbe,na sijui lini atafikia uwezo wake na umri ndio huo umemtupa pole yake...
Hahaha mbona mpovu kwa hiyo shimo lako mzeew
 
Back
Top Bottom