Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

Yes yes CR7 ni jeshi la mtu mmoja nina imani hata akikosa kombe la EURO hawezi kustaafu!!!

Mfalme kaingia final 3times na kukamilisha 120 Minutes bila kufungana! Tuone hicho kitimu chenu kilichoingia kwa bahati bahati kama kitavuka hizo 90..


Alaf nani kakudanganya Mfalme kastaafu?
 
Mchezaji bora all time ni yule asiyependa kujisifu kabla hajasifiwa nadhani mnamjua.
 
Wangapi wana makombe lkn hawana good reputation kama huyu kiumbe, je akipata hayo makombe itakuwaje ni zaidi ya sifa sindio?
Unapoteza sight mkuu, nyie si mnasema huyo ndo king! King gani kashndwa kuchukua hata kombe la maigizo la kopa Amerika!!? Asipo cheza na kina iniesta haez beba kitu huyo.
Cr7 >>>>>quitessi
Kwanza kwenye international trophies yaan hadi eder kampita,ana kombe moja la timu ya taifa, kwa hiyo

Lord Eder>>>>>Taxessi
 
Cr7 ni moto wa gesi huyu. Na sasa anaelekea kubeba World Cup akalipachike pale makumbusho.
 
mambo ya kufananisha messi na ujingaujinga muaache
 
Reactions: PNC
Cr7 ni moto wa gesi huyu. Na sasa anaelekea kubeba World Cup akalipachike pale makumbusho.
Ibrahimovic: Cristiano Ronaldo is
not a natural talent
Dec 29, 2016
 
Pale unapoleta pumba zako na watu wakazichekesha na kuona unaleta unazi tu hakuna kitu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mwanzo ulisema false naona umeedit
brahimovic: Cristiano is not a
natural talent - but Ronaldo was!
Dec 30, 2016 08:25:00 La Liga
The Man Utd attacker was asked what
separates the Real Madrid star from Ronaldo
and Ronaldinho, and he feels the difference is
quite simple
It's tough for most football fans to pick a
favourite Ronaldo, but Zlatan Ibrahimovic
believes O Fenomeno shades his namesake
rivals.
The future Messis of Argentina will follow Tevez
to China
Cristiano Ronaldo has earned his place among
the greats, following in the footsteps of the
Brazilian icon of the same name at Real Madrid,
while the dazzling Barcelona legend Ronaldinho
is impossible to ignore.
Zlatan Ibrahimovic, however, has pinpointed the
differences between the three legends.
"I think Ronaldo, Il Fenomeno, was the best," he
told ESPN Brasil. "For me, it was an example of
what football is. Everything he did something
that made you think 'wow'. The way he dribbled
and the way he ran.
PLAY
"Ronaldo was natural, he was born to be what
he was. It was not something he trained to
become. This type of player is not made, he is
born. He is unique.
"We [Ronaldinho and Ibrahimovic] played
together at AC Milan, but he did not live the
best days as before, but I loved it when we
played and he was running with his hair messed
up, dribbling fast and when he wanted to, he
made others look like kids around him.
Oxlade-Chamberlain seeks bumper pay rise
"As for Cristiano Ronaldo, we did not play
together. It is different because it is the result
of hard training. It is not natural."
Still in incredible form at 35, Ibrahimovic is far
from finished with football and could have a few
more years left in him, and even suggested he
would consider a move to Brazil.
"Maybe I should go to Brazil, you never know...
(Maybe) I'd enjoy my football there."
 
Messi ndiye mchezaji bora mara nyingi kidunia zingine ni mboyoyo za mdomoni kunogesha baraza.
 
Acha upumbavu messi hakustaafu kwasababu alikosa penalti yeye alistaafu kwa sababu ya kukosa kombe in three consecutive years.
Na wewe unaona umeandika sababu ya msingi?? Mtu unastaafu kwa kukosa kombe??? Alafu anajiita mchezaji bora??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…