Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Facts mnazo nyie tuu, na mnacho ongea nyie tuu ndo fact!!! Na kauli zenu ndo hizo hizo za kujifanya wanaojua mpira ndo wana msifia[emoji107] [emoji107] [emoji107]
Watoto wa messi mna nshangazaga sana
Tunachoongea sisi ni facts uliokuwa na ushahidi tosha, pia sisi sio watoto, watoto ni nyie wanyoa viduku kwa kumuiga jamaa yenu...mfalme hana hayo mambo ya kujipamba, yeye yupo kazini kwa ajili ya kuwaridhisha mashabiki wote duniani wanaompenda na wachache sana wasiompenda! hiyo ndio style yake.