Sijapata choo kwa muda mrefu licha ya kumeza vidonge vya kuharisha

Soft Guy

Member
Joined
Dec 18, 2023
Posts
64
Reaction score
149
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.

Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.

Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.

======
Pia soma:Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake
 
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula alhamisi iliyopita.Jana nimekunywa dawa za kurahisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Kunywa maji, mengi sukumizia papai na mapera nenda kutembea ukirudi kamata juice ya ukwaju. Kabla ujatulia piga chai ya mdalasini. Usiposhusha mzigo wa kutosha amini umerogwa.
 
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.

Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.

Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Kula mapapai mkuu
 
Acha ujinga dawa sio pipi utakuja kufa.

Kama unahisi choo ni kigumu kinachungulia ila hakitoki nenda wakupige bomba.
 
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.

Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.

Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Kunywa Castor oil
 
Kama ni ugumu wa stool (mavi) basi hizo njia wanazokushauri hapo juu zitafanya kazi.

Kama haupati choo sababu ya utumbo kujikunja, basi hata utumie dawa gani hautapata choo milele maana kuna mahali uchafu haupiti.

Njia sahihi nenda hospitali ufanyiwe vipimo ili shida hasa ijulikane ni nn, mavi au utumbo!
 
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.

Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.

Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Saga majani ya cassia alata, chukua kijiko Cha chakula kimoja, weka kwenye maji ya kunywa kikombe Cha chai kutwa mara tatu, baada ya hapo shinda karibu na choo. Baada ya hapo Pima choo chako na tumbo, ujue chanzo.
 
Back
Top Bottom