Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
kijana laini analili kupata choo
kazi kwelikweli
kazi kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.
Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
======
Pia soma:Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake
Pole sana. Siku zaidi ya 4 bila kwenda choo hata kutoa kiduchu ni mateso na nimewahi kuyapitia. Nashauri umuone daktari.Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.
Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
======
Pia soma:Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake
DulcolaxWalikupa dawa gani???
Kuna dawa hizo kidonge kimoja TU kwasiku kama sijakosea tena ni kiduchuuuu like pirtoni sema ninezisahau jina
Alooooooohh! Ukikinywa usikae mbali na choo!
Ni constipation hio
Pia waeza kula ndizi mbivu mapapai kwawingi
Cc Smart911
Ni kweli maana nilipohama nikanyaKunywa maji, mengi sukumizia papai na mapera nenda kutembea ukirudi kamata juice ya ukwaju. Kabla ujatulia piga chai ya mdalasini. Usiposhusha mzigo wa kutosha amini umerogwa.
Mwambie nesi aweke povu la omo kwenye sindano kubwa ya mnyama mkali kisha chuchuma weka poti kwa chini anaingiza kidogo kisha ana push povu utashusha mzigo wote papo hapoNina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.
Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
======
Pia soma:Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake
Walipiga juju choo?Ni kweli maana nilipohama nikanya
Walichukua kinyesi usiombe hunyi eti nipo serious na ukipata choo ni mavi kama ya mbuzi magumu ila nimehama na pata chooWalipiga juju choo?
Kumbe na nyie warembo huwa mnakunya?Walichukua kinyesi usiombe hunyi eti nipo serious na ukipata choo ni mavi kama ya mbuzi magumu ila nimehama na pata choo
Mi sio mrembo mie wakawaida tu acha madharau dogo sio vizuriKumbe na nyie warembo huwa mnakunya?