Sijapata choo kwa muda mrefu licha ya kumeza vidonge vya kuharisha

Sijapata choo kwa muda mrefu licha ya kumeza vidonge vya kuharisha

Kunywa maji Lita 2 kwa siku punguza kula keki maandaz mikate na chapati ukiingia tumbon huw inafyonza maji kwenye utumbo mpana hafu kula papai Lina fibres zinazo lainisha mharo
 
Back
Top Bottom