Kunywa maji, mengi sukumizia papai na mapera nenda kutembea ukirudi kamata juice ya ukwaju. Kabla ujatulia piga chai ya mdalasini. Usiposhusha mzigo wa kutosha amini umerogwa.Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula alhamisi iliyopita.Jana nimekunywa dawa za kurahisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Kula mapapai mkuuNina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.
Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Ila shemπUlipotishia kujamba ulijamba au ulisamehe?? Ungejamba tu.
Chimba mizizi ya ndulele uchemshe unywe, utakunya hadi fuko la mavi liseme asante.
Ni mwendo wa kutifua na kufyatua tu matofali pwaah pwaaah pwaaahh
Au tumia majani ya mchai chai.
Cc: The Stress Challengerr
Acha ujinga dawa sio pipi utakuja kufa.Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.
Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Kunywa Castor oilNina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.
Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
Shem za masiku πππIla shemπ
Mwenye namba za yule RC ampe mtoa mada huwenda akapata msaada wa haraka...... Duh
Saga majani ya cassia alata, chukua kijiko Cha chakula kimoja, weka kwenye maji ya kunywa kikombe Cha chai kutwa mara tatu, baada ya hapo shinda karibu na choo. Baada ya hapo Pima choo chako na tumbo, ujue chanzo.Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia kujamba na hakuna kinachotoka.
Nataka sasa kwenda kuchukua vidonge 10 nimeze vyote vyote.
π€£π€£πMwenye namba za yule RC ampe mtoa mada huwenda akapata msaada wa haraka...