Sijapenda hii sare, lakini Mgunda apewe mkataba haraka

Kati yako na yeye nani kaandika uharo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Zile zama za Simba na yanga kufungana 4-1 3-2 sijui 5-0 haziji kujirudia Tena
 
Kati yako na yeye nani kaandika uharo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mnajitutumua kuifunga yanga baada ya mechi mnaokoteza visababu vya ovyo ovyo, mtabaki kuwa under dog mbele ya yanga ata mkatafute kocha kati kati ya bahari na sio tanga tena, mpeni mkataba sasa si mlimtegeshea ashinde dabi ndo mumpe ukocha mkuu, mpeni atawafikisha nusu fainali mnayoota vichwani mweni
 
Wewe ni Matola?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaongea na 'Mudi' na 'Barabara' walifanyie kazi hili...

Subiri mrejesho
 
KABLA ya mechi Yanga hawachomoki , BAADA ya mechi presha ilikuwa juu Yanga tungewafunga hata tatu.

Hili nalo mkaliangalie Wanathimbaa

Nyie si ndio mpo home . Mngeshînda basi
 
Uharo mtupu
 
Umeshambulia wapi ? Hivi Wewe Akili yako ipo sawa sawa kweli ?
umeshambulia wewe hapa na akili yako iko sawa kabisa izo hatari ziko upande wako mgunda
 

Attachments

  • IMG-20221023-WA0024.jpg
    33.2 KB · Views: 4
Wazee wa bahasha leo wamejikaza mno.
 
Zile finali za Federation Cup Kigoma si zilikuwa Mwezi wa saba mwaka jana(07/2021)? Sasa ndiyo zishafika siku 1,345? Hizo takwimu za Manara zinawapotosha nyie.
Ilikuwa mwaka jana 2021 kumbe???
Mara ya mwisho kuifunga Yanga Mwalimu Kashasha akiwa Mchambuzi TBC (rip), Mambosasa akiwa RPC Dar, Magu akiwa Rais, Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa, Sabaya akiteka watu Hai,Mbowe akiwa KU Bungeni, Mdee akiwa Kiongozi wa Bavicha, Kinana akizibwa mdomo haongei, Polepole Msemaji wa Chama,
Hayo yote yametokea mwaka jana?? Mbumbumbu bhana
 
Ilikuwa mwaka jana 2021 kumbe???
Kumbe ilikuwa mwaka Gani? Fainali za Kigoma zilikuwa Julai 2021. Nyie mnakaririshwa mambo ya uongo na kuyabeba bila ya kufanya utafiti. Anayewaongopea ndiye alisema Yanga wenye akili ni baba yake na Kikwete.
 
yanga kafika golini mara 6 nyau mara 2 (short on target ) alafu unajitapa ungeifunga yanga

unaifunga vp hukuwa na mipira ya hatari golini kwake
mara sita goli moja,mwenzio mara mbili goli moja nani kiazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…