Sijapenda hii sare, lakini Mgunda apewe mkataba haraka

Bwege mwingine huyu hapa. Hizo no short on target sio kufika golini. Short on target unaweza kupiga hata katikati ya uwanja ili mradi tu ulenge goli. Lakini unaweza ukafika golini na usipige short yoyote.
Kwa ile gemu ya jana simba amefika golini mara nyingi kuliko yanga bila kujali shorts on target
 
Yule mtoto okrah ni kama mwehu mda MWINGINE...dah
 
wewe n bwege sana mkuu, kwenye mechi ya yanga mipira mingapi ilipigwa katikati na kufika golini

unaleta ujuaji wa kibwege kwamba simba alikuwa anafika golini ila hapiki anarudi kuanza upya

we jamaa umeme mdg kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…