Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwege mwingine huyu hapa. Hizo no short on target sio kufika golini. Short on target unaweza kupiga hata katikati ya uwanja ili mradi tu ulenge goli. Lakini unaweza ukafika golini na usipige short yoyote.nafikiri huelewi hata unacho jibu
mtu wa simba anasema alistahili kushinda mechi hii ndio nimemjibu yanga kafika golini mara 6 kwa mipira ya hatari nyau mara 2 vp anapo sema alistahili kushinda
ikiwa namba ya kushambulia kihatari jko chini wewe unacho jibu sijui hata ni nini
wewe n bwege sana mkuu, kwenye mechi ya yanga mipira mingapi ilipigwa katikati na kufika goliniBwege mwingine huyu hapa. Hizo no short on target sio kufika golini. Short on target unaweza kupiga hata katikati ya uwanja ili mradi tu ulenge goli. Lakini unaweza ukafika golini na usipige short yoyote.
Kwa ile gemu ya jana simba amefika golini mara nyingi kuliko yanga bila kujali shorts on target