Sijapenda kabisa Tanzania kufuzu 16 bora Afcon hapo sifa zote watapewa wauaji

Sijapenda kabisa Tanzania kufuzu 16 bora Afcon hapo sifa zote watapewa wauaji

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Kwakweli sijapenda..

Sijafurahishwa kabisa..

Tumeshaanza kuona Samuya akipewa sifa zote..
Tayari utasikia mama this mama that..

Huyo Bashite ndio balaa atajisifu kama nini.

Kifupi CCM wanachukua point tena sijapenda kabisa..
Hiyo tarehe 4 ifike haraka Morocco amalize hizi kelele..
 
Sasa wewe msomi mbona unachanganya madesa. Ccm na boli wapi na wapi sometimes muwe mnatupumzisha na siasa zenu sio poa Kila kitu politik. Viva Taifa coz hii ndo ya kutuunganisha sasa km myaanza hizo mambo tutawachoka.
 
Morocco atayapiga goli 9
Itakuwa ni historia ya mashindano timu kufungwa magoli mengi mno
Itakuwa aibu ya mwaka
Kumbuka Morocco kacheza nusu final ya world cup
We ulisema tutafungwa 7 na Nigeria
Ukasema Uganda watatupiga 3
Ukasema Tunisia anatupiga 5

Aibuuu yako Hata wewe!!!

Sipati picha maumivu ulokuwa nayo 🤣🤣🤣🤣
 
We ulisema tutafungwa 7 na Nigeria
Ukasema Uganda watatupiga 3
Ukasema Tunisia anatupiga 5

Aibuuu yako Hata wewe!!!

Sipati picha maumivu ulokuwa nayo 🤣🤣🤣🤣
Kiukweli ni maumivu makali
Ila inshallah Morocco atawadhalilisha hao Machawa fc
 
Huwezi kushindana na kauli ya Mungù akishasema ndiyo

Pole sana Tanzania ndo mabingwa watarajiwa wa hili kombe
 
Huwezi kushindana na kauli ya Mungù akishasema ndiyo

Pole sana Tanzania ndo mabingwa watarajiwa wa hili kombe
Hakika, mungu akiamua hata wakina Ben Saanane, Polepole, Soka na wengine wengi waliopotea watarudi tena
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Sasa wewe msomi mbona unachanganya madesa. Ccm na boli wapi na wapi sometimes muwe mnatupumzisha na siasa zenu sio poa Kila kitu politik. Viva Taifa coz hii ndo ya kutuunganisha sasa km myaanza hizo mambo tutawachoka.
Hukuona Yanga waliichangia CCM ??
 
NAMPONGEZA MAMA YETU KIPENZI HUU NI USHINDI KWA WATANZANIA

KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom