Sijapenda kabisa Tanzania kufuzu 16 bora Afcon hapo sifa zote watapewa wauaji

Sijapenda kabisa Tanzania kufuzu 16 bora Afcon hapo sifa zote watapewa wauaji

Jamii forum naomba nikimblock mtu nisione post yake kua nishamblock fanyeni kama insta usimuone kabisa.... #mods
 
Kwakweli sijapenda..

Sijafurahishwa kabisa..

Tumeshaanza kuona Samuya akipewa sifa zote..
Tayari utasikia mama this mama that..

Huyo Bashite ndio balaa atajisifu kama nini.

Kifupi CCM wanachukua point tena sijapenda kabisa..
Hiyo tarehe 4 ifike haraka Morocco amalize hizi kelele..
Meza nyembe
 
Back
Top Bottom