Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
We ulisema tutafungwa 7 na NigeriaMorocco atayapiga goli 9
Itakuwa ni historia ya mashindano timu kufungwa magoli mengi mno
Itakuwa aibu ya mwaka
Kumbuka Morocco kacheza nusu final ya world cup
Kiukweli ni maumivu makaliWe ulisema tutafungwa 7 na Nigeria
Ukasema Uganda watatupiga 3
Ukasema Tunisia anatupiga 5
Aibuuu yako Hata wewe!!!
Sipati picha maumivu ulokuwa nayo 🤣🤣🤣🤣
Mungu mwema asaidie waliotekwa na kupotea warudi pia.Mtajua wenyewe Mungu mwema tumefuzu
Hakika, mungu akiamua hata wakina Ben Saanane, Polepole, Soka na wengine wengi waliopotea watarudi tenaHuwezi kushindana na kauli ya Mungù akishasema ndiyo
Pole sana Tanzania ndo mabingwa watarajiwa wa hili kombe
Yes Yes YesHakika, mungu akiamua hata wakina Ben Saanane, Polepole, Soka na wengine wengi nawaliopotea watarudi tena
Hukuona Yanga waliichangia CCM ??Sasa wewe msomi mbona unachanganya madesa. Ccm na boli wapi na wapi sometimes muwe mnatupumzisha na siasa zenu sio poa Kila kitu politik. Viva Taifa coz hii ndo ya kutuunganisha sasa km myaanza hizo mambo tutawachoka.
Anywe sumu tu mambo yasiwe mengiWe ulisema tutafungwa 7 na Nigeria
Ukasema Uganda watatupiga 3
Ukasema Tunisia anatupiga 5
Aibuuu yako Hata wewe!!!
Sipati picha maumivu ulokuwa nayo 🤣🤣🤣🤣