Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Hello,
Kuna thread nyingi sana humu Jamii Forums nimeona Wamasai wakikejeliwa mno kwa kuitwa washamba, hawavai nguo za ndani na mengine mengi. Hii ni mitazamo ya kibaguzi na potofu kabisa.
Binafsi sipendezwi na tabia za kuwadhalilisha Wamasai na ninapendekeza zikomeshwe. Stop shaming them!
Naonya!