Sijapenda watu wanavyo-underrate Wamasai

Sijapenda watu wanavyo-underrate Wamasai

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,269
Hello,
Kuna thread nyingi sana humu Jamii Forums nimeona Wamasai wakikejeliwa mno kwa kuitwa washamba, hawavai nguo za ndani na mengine mengi. Hii ni mitazamo ya kibaguzi na potofu kabisa.

Binafsi sipendezwi na tabia za kuwadhalilisha Wamasai na ninapendekeza zikomeshwe. Stop shaming them!

Naonya!
 
Ni kweli hawavai nguo za ndani? Kama hawavai ... na kama wanavaa ...
Ni kweli washamba?
 
Acha wamasai. Inaelkea mmasai ndio amekuzwana mzungu tu lakini utamaduni OG sio kweli kashika yeye ingawa Anajitahidi kudumisha.
ikokabila huku shamba nalima mimi mtu na dada zakwe wanaoga bwawa moja hakuna pichu, na kulala chumba kimoja wote anaekula puchi shauri yake.

mmoja alinipeleka kwake rini mita 200 hivi kabla kufika akaanza kuita jina la mkewe kwa sauti kubwa, nikamuulizaunafanya nini akasema anapiga hodi, huenda mkewe amepata mchepuko sasa anapiga hodi jamaa kama ytupo aweze ku " escape" akanimabia nyie ndio mnahangaika na hizi maku maku wao hwana story nazo kabisa wanajali mali.

Siku ya uchaguzi wa Magufuli nilimwambia kuna uchaguzi akaniambia wa nini n nani anachaguliwa nilishangaa sana , Kifupi wao ni maisha na mali na family yao basi mambo mengine hawana story nayo wanakutana nayo tu n.k
 
Jana Ulirudi Usiku

Sio lazima nguo za ndani. Kumbuka nguo zimekuja tu miaka ya 1960s Ila before watu walikuwa wakitembea uchi. Imekuwa Kama masikini akipata Malia anaanza kumtukana wengine kuwa wao ni wajinga ni masikini hawakusoma,walikuwa wanachezea ngoma. Kama umesoma usomi wako ukusadie wewe na Taifa lako.
Tumia positive way. Umesoma umemzidi baako elimu so baako ni mjinga alikuwa anacheza ngoma ama umemzidi Mali basi.
 
Jana Ulirudi Usiku

Kila mkoa kuna watani.Kwa mfano ukienda Mwanza,wasukuma hutaniwa ingawa kwao.Ukienda Mbeya Wandali hutaniana na Wanyakyusa.Ruvuma,wamatengo hutaniwa.Tabora utakuta waha na wasukuma hutaniwa.Ukienda Iringa na Njombe,wakinga wanataniwa Usidhani wamasai wanachukiwa.Ni utani tu ambao hauchubui ngozi.😝😝😝😝😝
 
Kuna ripota mmoja aliwahi kuripoti taarifa ya ajali miaka ya 70's kwa kusikika akisema hivi "vimetokea vifo vya watu 10, wakiwemo wamasai wawili"
 
ha ha siwataji Mkuu. Ila watu wazuri sana ila wkali sna kwenye mali zao, na wanamahakama zao usipohudhuria kikao inakuwa shida kubwa. Kwa vikao vya vinafanikiwa sana.
Jamii za wafugaji hizo
 
ha ha siwataji Mkuu. Ila watu wazuri sana ila wkali sna kwenye mali zao, na wanamahakama zao usipohudhuria kikao inakuwa shida kubwa. Kwa vikao vya vinafanikiwa sana.
Sasa kwann ufunge PM Mkuu, mm nataka kujua wapi huko unalima tuje tupeane kampani nashiriki mambo ya kilimo
 
ninachowapendea wamasai uwa hawakasiriki Licha ya ushamba wao lakini ni watu wacheshi sana. Popote anakaa na anakubalika
 
Back
Top Bottom