Sijaridhishwa na kitendo cha Arsenal kupigia debe nchi ya Rwanda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuifagilia nchi ya Rwanda katika jambo lolote lile ni sawa na kuiambia dunia kwamba KUTAWALA NCHI KIDEKTETA NI JAMBO LA HALALI .

Paul Kagame kiongozi wa Rwanda aliyethibitika kutawala nchi yake kwa mkono wa chuma na kuteketeza waziwazi kila anayempinga ndani na nje ya Rwanda hastahili kuungwa mkono na binadamu yeyote mwenye akili timamu na anayemuogopa Mungu .

Bado sijaelewa malengo ya timu ya Arsena ya kuwataka watu wa dunia kuitembelea Rwanda , na bado sijaelewa kama mpango huu ni wa Arsenal pekee ama ni mpango wa Serikali ya Uingereza , bali itoshe tu kusema mpango huu NI SAWA NA UOVU DHIDI YA UBINADAMU , siungi mkono , yuko wapi mwana mama ighambile aliyefungwa kwa uonevu baada ya kugoma kuufyata ? Nani aliyesahau mateso ya familia ya Rwigara aliyeuawa kikatiri na familia yake kunyanyaswa ?

Natoa wito kwa wapenda soka wote duniani na hasa wapenzi wa Arsenal kuukataa na kupinga kabisa timu yao kutumika kuufagilia udikteta .
 
Kuifagilia nchi ya Rwanda katika jambo lolote lile ni sawa na kuiambia dunia kwamba KUTAWALA NCHI KIDEKTETA NI JAMBO LA HALALI .

Paul Kagame kiongozi wa Rwanda aliyethibitika kutawala nchi yake kwa mkono wa chuma na kuteketeza waziwazi kila anayempinga ndani na nje ya Rwanda hastahili kuungwa mkono na binadamu yeyote mwenye akili timami na anayemuogopa Mungu .

Lkn wewe siyo Muzungu, Arsenal inakuhusu nini? Isitoshe Uingereza iliipigia debe
Nazi Germany na Adolf Hitler ije kuwa Rwanda?
 
Ur not making any sense..Rwanda is a very beautiful country and Kagame is the true son of Mama Africa..
Before I forget why I commenting on this ur thread is filled with a load of lies..Huyo Rwigara ameuwawa lini na wapi ? Tujifunze kuwa honest katika mambo tunayoyasema
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .... hawa ndio wabongo
 
Ur not making any sense..Rwanda is a very beautiful country and Kagame is the true son of Mama Africa..
Before I forget why I commenting on this ur thread is filled with a load of lies..Huyo Rwigara ameuwawa lini na wapi ? Tujifunze kuwa honest katika mambo tunayoyasema
Yuko wapi baba yake Diane Rwigara ?
 
Lkn wewe siyo Muzungu, Arsenal inakuhusu nini? Isitoshe Uingereza iliipigia debe
Nazi Germany na Adolf Hitler ije kuwa Rwanda?
Tutapinga unyama wowote dhidi ya binadamu bila kujali rangi zetu
 
Kwani hao Wakoloni ndio unawaona watu wa maana sana? We vipi wewe?
 
Yuko wapi baba yake Diane Rwigara ?
Sasa alikuwa anaitwa Rwigara? Rwandan naming system sio kama ya kibongo ukisikia MTU anaitwa Diane Rwigara maana yake ni kwamba Diane ni jina lake la kikristo na Rwigara ni jina lake la kinyarwanda..Matter fact baba ake Diane Rwigara alikufa kwa ajali ya gari ..hiyo kusema ameuwawa umeitolea wapi mkuu?
 
Wewe ni Great Thinker ?
 
Nani anayeweza kwenda kutalii kwenye nchi inayoua kila mwenye mawazo mbadala ?
Kwani watalii wanaenda kutalii kwenye Ofisi za Vyama vya siasa au wanaenda kwenye maeneo yenye Vivutio?.

Kuna siku umeona wazungu wameenda kutalii Lumumba au Ufipa?
 
Hivi wanaweza kuitangaza Korea Kaskazini kwenye utalii? Be serious please
Kwani wewe ulitaka nini? Lengo la Rwanda ni kutangaza utalii nchini mwao kupitia Arsenal sasa nyie mlitaka nini?

Wivu tu hakuna lolote.
 
Wewe ni Great Thinker ?
Unapaswa kujibu Swali langu kwanza lakini kabla hujajibu Swali ulipaswa Ku admitt kosa la kiufundi ulilo lifanya kwenye andishi lako..Unaposema Rwigara ameuwawa watu wanakushangaa ujue.Unaonekana haujui unacho kiongelea .. Falsus in uno falsus in omnibus .." False in one thing false in everything "
 
Back
Top Bottom