Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuifagilia nchi ya Rwanda katika jambo lolote lile ni sawa na kuiambia dunia kwamba KUTAWALA NCHI KIDEKTETA NI JAMBO LA HALALI .
Paul Kagame kiongozi wa Rwanda aliyethibitika kutawala nchi yake kwa mkono wa chuma na kuteketeza waziwazi kila anayempinga ndani na nje ya Rwanda hastahili kuungwa mkono na binadamu yeyote mwenye akili timamu na anayemuogopa Mungu .
Bado sijaelewa malengo ya timu ya Arsena ya kuwataka watu wa dunia kuitembelea Rwanda , na bado sijaelewa kama mpango huu ni wa Arsenal pekee ama ni mpango wa Serikali ya Uingereza , bali itoshe tu kusema mpango huu NI SAWA NA UOVU DHIDI YA UBINADAMU , siungi mkono , yuko wapi mwana mama ighambile aliyefungwa kwa uonevu baada ya kugoma kuufyata ? Nani aliyesahau mateso ya familia ya Rwigara aliyeuawa kikatiri na familia yake kunyanyaswa ?
Natoa wito kwa wapenda soka wote duniani na hasa wapenzi wa Arsenal kuukataa na kupinga kabisa timu yao kutumika kuufagilia udikteta .