Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Hujui kituWivu wa kike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kituWivu wa kike.
Very well saidKuifagilia nchi ya Rwanda katika jambo lolote lile ni sawa na kuiambia dunia kwamba KUTAWALA NCHI KIDEKTETA NI JAMBO LA HALALI .
Paul Kagame kiongozi wa Rwanda aliyethibitika kutawala nchi yake kwa mkono wa chuma na kuteketeza waziwazi kila anayempinga ndani na nje ya Rwanda hastahili kuungwa mkono na binadamu yeyote mwenye akili timamu na anayemuogopa Mungu .
Bado sijaelewa malengo ya timu ya Arsena ya kuwataka watu wa dunia kuitembelea Rwanda , na bado sijaelewa kama mpango huu ni wa Arsenal pekee ama ni mpango wa Serikali ya Uingereza , bali itoshe tu kusema mpango huu NI SAWA NA UOVU DHIDI YA UBINADAMU , siungi mkono , yuko wapi mwana mama ighambile aliyefungwa kwa uonevu baada ya kugoma kuufyata ? Nani aliyesahau mateso ya familia ya Rwigara aliyeuawa kikatiri na familia yake kunyanyaswa ?
Natoa wito kwa wapenda soka wote duniani na hasa wapenzi wa Arsenal kuukataa na kupinga kabisa timu yao kutumika kuufagilia udikteta .
unajua kwanini Meli zilizosajiliwa Tanzania zilileta ukakasi baada ya kuhusishwa na Korea Kaskazini ?Wivu wa kike.
Hatukosei kizembe mkuuVery well said
Aisee chadema imeishiwa vijana sio kwa upuuzi huu.Kuifagilia nchi ya Rwanda katika jambo lolote lile ni sawa na kuiambia dunia kwamba KUTAWALA NCHI KIDEKTETA NI JAMBO LA HALALI .
Paul Kagame kiongozi wa Rwanda aliyethibitika kutawala nchi yake kwa mkono wa chuma na kuteketeza waziwazi kila anayempinga ndani na nje ya Rwanda hastahili kuungwa mkono na binadamu yeyote mwenye akili timamu na anayemuogopa Mungu .
Bado sijaelewa malengo ya timu ya Arsena ya kuwataka watu wa dunia kuitembelea Rwanda , na bado sijaelewa kama mpango huu ni wa Arsenal pekee ama ni mpango wa Serikali ya Uingereza , bali itoshe tu kusema mpango huu NI SAWA NA UOVU DHIDI YA UBINADAMU , siungi mkono , yuko wapi mwana mama ighambile aliyefungwa kwa uonevu baada ya kugoma kuufyata ? Nani aliyesahau mateso ya familia ya Rwigara aliyeuawa kikatiri na familia yake kunyanyaswa ?
Natoa wito kwa wapenda soka wote duniani na hasa wapenzi wa Arsenal kuukataa na kupinga kabisa timu yao kutumika kuufagilia udikteta .
Kwa upuzi ulio uandika na weww unajiita great thinker.Wewe ni Great Thinker ?
mambo shwari , mshahara bado haujaisha basi natamba tu .mtoa mada mambo ?
Mungu si Athuman
huo ndio ukweliInawezekana ndio maana wamefungwa na Chelsea