GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Niko serious acha Utani basi sijasafiri nje ya Tanzania tokea November 2001 ila nina Pasi ile ya zamani bado sijaibadilisha Ili niipate hii mpya ya Kielektroniki na ndiyo maana nawaombeni Muongozo kwani nahisi kuna Safari inakuja mwishoni mwa mwaka huu wa 2022 au mapema mwanzoni mwa mwaka ujao wa 2023.Si useme tu hujawahi kuvuka boda!
Unazunguuukaaa!!!!
Asante sana Mkuu kwa Muongozo huu.Unapply kupitia website kama mpya kwenye sababu za uhitaji utaandika unahitaji passport za kielectroniki kisha lipia kwa control no fee ya awali, utadownload, print na kucertify - kuna eneo la mwanasheria kucertify.
Kisha nenda ofisi za Immigration
Upload document zote na nenda na certified copy
Siitwi huyo Tapeli na aliyeiiga ID yangu Ili asafirie nyota yangu Kali yenye Mvuto wa Kipekee aitwae GENTAMYCIME bali Mimi naitwa GENTAMYCINE sawa?Swali liloulizwa ni kwamba kwanini ,ukiwa na pasi ya zamani isiwe ni rahisi kupata mpya ikiwa vielelezo ni vilevila tu na hii inatoa mwanya wa rushwa? Sio kwamba GENTAMYCIME swali lake ni hilo alilouliza ila anataka kujua akili zenu zikoje
Nisamehe mkuu sikuangalia vizuri kumbe huyu anatumia jina la kufanana na mtu mwenye akili zake timamuSiitwi huyo Tapeli na aliyeiiga ID yangu Ili asafirie nyota yangu Kali yenye Mvuto wa Kipekee aitwae GENTAMYCIME bali Mimi naitwa GENTAMYCINE sawa?
Nipo hapa JamiiForums tokea mwaka 2013 na huyu ( huyo ) Pimbi Kaibuka Juzi tu hapa na mwaka huu 2022.
Apology Accepted Chief.Nisamehe mkuu sikuangalia vizuri kumbe huyu anatumia jina la kufanana na mtu mwenye akili zake timamu
ThanksApology Accepted Chief.
Mkuu umeitendea haki ID yako, Big up.Unapply kupitia website kama mpya kwenye sababu za uhitaji utaandika unahitaji passport za kielectroniki kisha lipia kwa control no fee ya awali, utadownload, print na kucertify - kuna eneo la mwanasheria kucertify...
Kuna mtu alipitia hatua zote hapa na bado mpaka leo ni kisanga, mpaka nilipomtafuta mwenye kibubu chetu ndio ikawa afadhaliUnapply kupitia website kama mpya kwenye sababu za uhitaji utaandika unahitaji passport za kielectroniki kisha lipia kwa control no fee ya awali, utadownload, print na kucertify - kuna eneo la mwanasheria kucertify...
Hata Mimi kutokana na kujua kuwa GENTAMYCINE ni mtu "well informed" sikutarajia aulize hili swali. Nikadhani Moja Kwa Moja ni GENTAMYCIME ndo anauliza.Swali liloulizwa ni kwamba kwanini ,ukiwa na pasi ya zamani isiwe ni rahisi kupata mpya ikiwa vielelezo ni vilevile tu na hii inatoa mwanya wa rushwa? Sio kwamba GENTAMYCIME swali lake ni hilo alilouliza ila anataka kujua akili zenu zikoje
Siitwi huyo Tapeli na aliyeiiga ID yangu Ili asafirie nyota yangu Kali yenye Mvuto wa Kipekee aitwae GENTAMYCIME bali Mimi naitwa GENTAMYCINE sawa?
Nipo hapa JamiiForums tokea mwaka 2013 na huyu ( huyo ) Pimbi Kaibuka Juzi tu hapa na mwaka huu 2022.