Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.

Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe.

Enzi zile za akina Marando jinsi walivyokuwa wanajua mapambano, mwamba angeliweza kuchomolewa.

My take: Chadema yetu ipo hoi taabani, haina wasomi kama Nccr ya akina Marando.
 
Wamchomoe aende wapi wakati ameshachomekwa?
Mbowe kila mda kwani hakuna watuhumiwa wengine
 
Sema na wauza ubongo geti la kijani wapo imara,kwani wamebakia na fuvu tupu.
 
Nakubaliana na na wanaosema Mbowe ndiye alikutoa usichana wako ndiyo maana huishi kumtajataja.
 
Rejea enzi zile hujui kusoma na kuandika.Mabere Marando alichachafya viunga vya Mahakama
Pole ndugu,
kwani yaonekana tangu enzi hizo pamoja na kujua kusoma na kuandika, mpaka sasa bado hauna kabisa uwezo wa kujibu swali uliloulizwa.
 
Si nilisikia mawakili 750 wamejitokeza!!!

Kutetea kesi ya kubambikiza yaani[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sabaya ndani kwa ujambazi, Mbowe ndani kwa ugaidi. Kwenye betting tunasema GG
 
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.

Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe.

Enzi zile za akina Marando jinsi walivyokuwa wanajua mapambano, mwamba angeliweza kuchomolewa.

My take: Chadema yetu ipo hoi taabani, haina wasomi kama Nccr ya akina Marando.
Endelea kulala kwa dada ako
 
Back
Top Bottom