Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi.

Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe.

Enzi zile za akina Marando jinsi walivyokuwa wanajua mapambano, mwamba angeliweza kuchomolewa.

My take: Chadema yetu ipo hoi taabani, haina wasomi kama Nccr ya akina Marando.
Ngoja kwanza ajibu mashitaka ya ugaidi
 
Back
Top Bottom