Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Haya haya maandamano ya twitter na jf yanatetemesha wakuu wakoukweli mchungu.
maandamano yako twitter na jamii forums jukwaa la siasa.
Una utani na makamanda?Mkuu inaelekea wewe ni kipofu. Hivi kusema kweli huwaoni makamanda walivyoingia mitaani kwenye maandamano huku jamii forums, tweeter, Instagram, nk?
Mafala wengine yaani Kama mgeni Bongo..unataka watu wafe SatanWanaopika vitumbua wao busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.
Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM...
Inahusu nini?Siku yako yaja
yanawatetemesha wapi[emoji16][emoji16]Haya haya maandamano ya twitter na jf yanatetemesha wakuu wako
Hivi unadhani hata wakina Nyerere walikubalika na wananchi wengi wakati wanadai uhuru? Uliwahi kusikia wananchi waliandamana wakati walibambikiwa kesi?Wanaopika vitumbua wao busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.
Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM...
Unaifahamu historia ya Tanzania?Hivi unadhani hata wakina Nyerere walikubalika na wananchi wengi wakati wanadai uhuru? Uliwahi kusikia wananchi waliandamana wakati walibambikiwa kesi?
Hao wachache wanaowaunga mkono wanatosha. Historia itawatendea haki.
Amandla...