Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Hivi huwa kuna wananchi wa kawaida na wasio wa kawaida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Tulia babu....CCM haiwezi kuikalia Tanzania ki mabavu.
Katiba mtaitoa tu, mtake msitake.
Ndio...Hivi huwa kuna wananchi wa kawaida na wasio wa kawaida?
Mama anafungua nchi.Maisha magumu Sana mtaani, huo muda unautoa wapi? Miaka mitano ya Jpm vyuma vilikaza.Mama ameanza Tena purukushani na wapinzani, sijui maisha yatakuwaje..
Ndio sababu ya kukamata viongozi wa upinzani. Huoni ni kuogopa hayo maandamano ya twitteryanawatetemesha wapi[emoji16][emoji16]
ingepigwa pin twitter.Ndio sababu ya kukamata viongozi wa upinzani. Huoni ni kuogopa hayo maandamano ya twitter
Huwa inapigwa pin na kufunguliwa mara nyingi tu mkuu.ingepigwa pin twitter.
Uchaguzi vifaru uwa ni vya nini? Na kuua watu na kutesa na kuwakata majina wagombea?Halafu wakiambiwa kuwa CHADEMA wapo jamii forum na twiter pekee ila mtaani hakuna wanakuja kwa matusi na lugha za kujifariji.
Narudia tena, huku mtaani hakuna vijana wa ufipa wala wazee wa CDM.
Me nataka tozo iongezwe tena na tena ili mlie kabisa bunge lenu kibogoyo.Tuache kulilia Tozo ya Kizalendo inavyotunyonya damu, tukalilie watu ambao hawawezi kulia na sisi sababu hawana uhalisia wa kile tunachopitia.
Mpumbavu na mjinga wewe....!Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.
Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM.
Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki za watanzania? Lwaitama? Nani mwingine?
Lissu ,kidogo ana historia kubwa na nzuri kupigania haki za watanzania, ila aliharibu kujoin CHADEMA, bora angeanzisha chama chake.
Kama kweli waliotiwa nguvuni wanakubalika kwa umma leo kingenuka hapa bongo.
My take; Damu ya shujaa aliyeipigania Tanzania na wanyonge itaitafuna Tanzania kama Damu ya Lumumba inavyoitafuna DRC.
Naive and nonsense thread.Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.
Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM.
Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki za watanzania? Lwaitama? Nani mwingine?
Lissu ,kidogo ana historia kubwa na nzuri kupigania haki za watanzania, ila aliharibu kujoin CHADEMA, bora angeanzisha chama chake.
Kama kweli waliotiwa nguvuni wanakubalika kwa umma leo kingenuka hapa bongo.
My take; Damu ya shujaa aliyeipigania Tanzania na wanyonge itaitafuna Tanzania kama Damu ya Lumumba inavyoitafuna DRC.
Unawapa air time ya bure hao mashujaa wa karatasi!! Mashujaa kwa lipi?Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.
Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM.
Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki za watanzania? Lwaitama? Nani mwingine?
Lissu ,kidogo ana historia kubwa na nzuri kupigania haki za watanzania, ila aliharibu kujoin CHADEMA, bora angeanzisha chama chake.
Kama kweli waliotiwa nguvuni wanakubalika kwa umma leo kingenuka hapa bongo.
My take; Damu ya shujaa aliyeipigania Tanzania na wanyonge itaitafuna Tanzania kama Damu ya Lumumba inavyoitafuna DRC.
Sasa unawalinganisha hao wademkaji wa cdm na kina Nyerere, Nkwameh Nkrumah nk?? You must be joking!!
Hata wakoloni waliwaona wakina Kwame Nkrumah, Nyerere na wengineo ni wademkaji.Sasa unawalinganisha hao wademkaji wa cdm na kina Nyerere, Nkwameh Nkrumah nk?? You must be joking!!
Hata Lwakatare alishasota sana ndani kwa kesi za kupikwa za ugaidi,tumeshazoeaUpinzani tunautaka sana, ila sio kama huu Upinzani wa kihuni
Ni upumbavu kuwa mpinzani hasa wa chama viongozi wake wanajihusisha na masuala ya kigaidi
NAUNGA MKONO HOJA 🙋ukweli mchungu.
maandamano yako twitter na jamii forums jukwaa la siasa.
CDM wanasiasa zile za kizamani za kudai Uhuru hawana mipango mikakati kiasi kwamba sisi wananchi hatuwaelewi muelekeo wao vurugu hazito wasaidia kwani watz ni werevuHakuna kiongozi au mwananchi yeyote makini anaetaka amani na utulivu akawavumilia chadema na huu ndo ukweli Chadema mnafanya siasa za kizamani sana mnafanya siasa zilizokuwa zinafanyika enzi za kupigania uhuru
Tawi pekee linalofanya vzr ndani ya Chadema ni Tawi la mtandaoni tu tena hawa wanapiga makelele wakiwa na Fake ID huku wamewasha VPN
JPM ndo aliwaweza vzr Gwanda zilikuwa night dress mnazivaa usk wkt wa kulala
Makamanda uchwara ya Dodoma yaliahidi kufanya maandamano leo, sasa sijui yamepotelea wapi.Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.