Sijasikia wananchi wa kawaida wakiwalilia mashujaa wa CHADEMA waliotiwa nguvuni

Tulia babu....CCM haiwezi kuikalia Tanzania ki mabavu.

Katiba mtaitoa tu, mtake msitake.
🤣🤣

Katiba MPYA haipo babu....

Haipo mkuu....

Watanzania hawatomwaga damu zao zikajaa miferejini kwa sababu ya KATIBA INAYOSUKUMWA NA WANASIASA....watanzania si WAPUMBAVU....wanawaelewa wanasiasa VYEMA MNO....Watanzania si WAAFRIKA KUSINI AMBAO wako tayari kumwaga damu zao kisa "Zuma" amepelekwa RUMANDE....🤣🤣

ENDELEA KUJIOTESHA NDOTO
 
Hivi huwa kuna wananchi wa kawaida na wasio wa kawaida?
Ndio...
Ndio....

Wako wananchi wa hali za chini kabisa....ambao kula yao ya siku mpaka atoke vibaruani....akirudi anarudi na fedha ya kula siku 1 ama 2.....

Hawa hawataki UJINGA WA WANASIASA......
Hawa si walevi wa harakati za MITANDAO YA KIJAMII.....(TWITTER,INSTA ,JF ,FB n.k)

Miongoni mwao ni masela wa kitaa....huku uswazi....huku tunaoishi wabishi....si "mayaimayai" wa Masaki ,Mikocheni ,ADA ESTATE n.k

Kwa huku BONGO ,ukiacha BAADHI YA wanaopenda kuandamana kwa AJILI YA MSUKUMO WA DINI....wengi wa vijana wa USWAZI hawashobokei UJINGA wa kujipeleka kuchezea VIRUNGU kisa CHADEMA....

#KaziInaendelea
#NchiKwanza
 
Halafu wakiambiwa kuwa CHADEMA wapo jamii forum na twiter pekee ila mtaani hakuna wanakuja kwa matusi na lugha za kujifariji.

Narudia tena, huku mtaani hakuna vijana wa ufipa wala wazee wa CDM.
Uchaguzi vifaru uwa ni vya nini? Na kuua watu na kutesa na kuwakata majina wagombea?
 
Tuache kulilia Tozo ya Kizalendo inavyotunyonya damu, tukalilie watu ambao hawawezi kulia na sisi sababu hawana uhalisia wa kile tunachopitia.
Me nataka tozo iongezwe tena na tena ili mlie kabisa bunge lenu kibogoyo.

Yaani tozo ya kutoa elf 2 iwe elf10
 
Mpumbavu na mjinga wewe....!

Hao unaowaita "wananchi wa kawaida" wakoje na wana qualities gani?

Sisi unaotuona humu unadhani ni "wananchi maalumu sana" na siyo wa kawaida siyo?
 
Naive and nonsense thread.
 
Unawapa air time ya bure hao mashujaa wa karatasi!! Mashujaa kwa lipi?
 
Upinzani tunautaka sana, ila sio kama huu Upinzani wa kihuni

Ni upumbavu kuwa mpinzani hasa wa chama viongozi wake wanajihusisha na masuala ya kigaidi
Hata Lwakatare alishasota sana ndani kwa kesi za kupikwa za ugaidi,tumeshazoea
 
CDM wanasiasa zile za kizamani za kudai Uhuru hawana mipango mikakati kiasi kwamba sisi wananchi hatuwaelewi muelekeo wao vurugu hazito wasaidia kwani watz ni werevu
 
Wamkamate Mzee mpili halafu waone tutakavyo kiwasha, ngoja kwanza kesho tukamzike Simba aliyofariki Dar kisha ndio tutaangalia inakuaje.
 
Makamanda uchwara ya Dodoma yaliahidi kufanya maandamano leo, sasa sijui yamepotelea wapi.
 
ww ulitaka kuona watu wanatokwa na machozi hadharani?

hizi sinema jeshi lenu la maccm wanazo cheza zitaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…