Sijasikia wananchi wa kawaida wakiwalilia mashujaa wa CHADEMA waliotiwa nguvuni

Watanzania hawajahi kukinukisha ..... hivyo wao kutokinukisha haina maana kuwa hawamuungi mkono Mbowe au kwamba wanakubaliana na serikali.
 
Tuache kulilia Tozo ya Kizalendo inavyotunyonya damu, tukalilie watu ambao hawawezi kulia na sisi sababu hawana uhalisia wa kile tunachopitia.

You have stooped too low!! Wanaoweza kulia na ninyi si ndio walioleta hicho mnachokipitia??

Ninaamini kuwa kuondoka kwa kiwango hiki cha upumbavu (sio ujinga) kutaleta neema Tanzania. Uchache wenu itakuwa neema kwa nchi, sasa hivi mko wengi mno - mnatuzuia kusonga mbele!!!
 
Hata mwaka jana baada tu ya uchaguzi Tundu, Lema na wengineo walipodai kuwa wamekamatwa, BBC katika mahojiano na Tundu walimuuliza hivyo hivyo, "Mbona hakuna wafuasi/wafurukutwa wenu barabarani kwa ajili yenu? Angalia leo watu wengi wameelekeza shamra shamra za mpira KIGOMA.
 
Eti damu ya shujaa, shujaa gani, mtaje tukuumbue
 
Tujitambue na tutambue kuwa kuna watu wanaojitambua ambao hawawezi kuwa bulldozed kiulaini kama unavyofikiria wewe
 
Zaidi zaidi nmesikia wakiongelea mpira wa simba na yanga tu
 
Mm hapa mtanzania wa kawaida nalaani uhuni wote wanaofanyiwa CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…