Sijasoma hila unambii kitu utanidanganya nini kauli za vijana wa Kitanzania wenye Upumbavu uliokubuu

Sijasoma hila unambii kitu utanidanganya nini kauli za vijana wa Kitanzania wenye Upumbavu uliokubuu

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe.

Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah

Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
 
👩🏻‍🦱👩🏻‍🦱👩🏻‍🦱👩🏻‍🦱👩🏻‍🦱
 
IMG_6049.jpg
 
Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna hata maarifa zero kila kitu unajua ,unafahamu wewe.

Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah

Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
Kubishana mbona hata bungeni wanabishana? Tafuta hela pimbi wewe unakaa unajisifia elimu hii hii uliyofundishwa na maprofesa wa jalalani?
 
Mwenzio katoa hoja kaishia kusulubiwa msalabani na Waroma, na sisi vijana tulitoa hoja wakaishia kwenye bahari na wasio julikana.
 
Kaka una taarabu nyingi 😒

Alisikika mwendawazimu mmoja.
 
Kwahiyo ndo umekuja kunishitaki humu JF?

Sikia mimi sitaki mambo mengi na wewe, NILIPE HELA YANGU TUACHANE KIROHO SAFI!! NA TENA USINISHIRIKISHE KWENYE MAMBO YAKO, nyau wewe!!! Mfxxxx
 
Kwahiyo ndo umekuja kunishitaki humu JF?

Sikia mimi sitaki mambo mengi na wewe, NILIPE HELA YANGU TUACHANE KIROHO SAFI!! NA TENA USINISHIRIKISHE KWENYE MAMBO YAKO, nyau wewe!!! Mfxxxx
Hongera ndugu mnunua ugomvi, umejishindia bundle la wiki.
 
Back
Top Bottom