Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
hawa ndiyo wale ukimwaga unaunganisha,
Kubishana mbona hata bungeni wanabishana? Tafuta hela pimbi wewe unakaa unajisifia elimu hii hii uliyofundishwa na maprofesa wa jalalani?Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna hata maarifa zero kila kitu unajua ,unafahamu wewe.
Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah
Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
Hongera ndugu mnunua ugomvi, umejishindia bundle la wiki.Kwahiyo ndo umekuja kunishitaki humu JF?
Sikia mimi sitaki mambo mengi na wewe, NILIPE HELA YANGU TUACHANE KIROHO SAFI!! NA TENA USINISHIRIKISHE KWENYE MAMBO YAKO, nyau wewe!!! Mfxxxx
Wewe ni mkewanguNimejisifia sa ngapi. We kihande 😁 nitafute hela ya kumuonga mama ako au?
GB ngapi vo?Hongera ndugu mnunua ugomvi, umejishindia bundle la wiki.