Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae

Hujatembea nae anasema umetembea nae!!!basi tembea nae ili aridhike!
Stick to what you know... kama hujatembea nae usikubali, na hata kama umetembea nae pia usikubali
ila uache sasa kutembea na mkewe (kama unatembea nae)
ukubali ukatae jua kuna siku jamaa atatembea na wewekuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
Ah, we unatuchanganya sasa,kule jukwaa la Siasa unajinsibu kama Demu,huku umetembea na mke wa mtu, are you LESBIAN??kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
Sure Mkuu, Jamaa kule jukwaa la SIASA tunamjua ni Demu, sasa ndo nimemuuliza kama ni Lesbian, basi lazima Jamaa mwenye mke lazima amchape on dayukubali ukatae jua kuna siku jamaa atatembea na wewe
Kumbe demu mwenyewe kicheche, na jamaa zezeta aiseemkuu mke wa mtu sumu ntaruka nirukavyo ila si kwa mke wa mtu!!!sema mshkaji anikomalia sana sijui kwanini....f.y.i jana usiku karudi kwake hajamkuta mkewe break ya kwanza kwa mshkaji wangu ili amlete home akidhani nipo na mkewe!huwezi amini jamaa kazunguka nyumba yote,makabatini mpaka uvunguni hajaona kitu!nimejisikia vibaya mpaka nimeamua kutaka ushauri na mbaya zaidi kanipigia leo mchana nimwambie kama nimetembea nikizidi kukataa atanifanya mbaya!hiyo mbaya ndo inaninyima amani
Kumbe demu mwenyewe kicheche, na jamaa zezeta aisee
kaa mbali na hiyo familia
ahahahaaaaaaaaaaa...ndio zao siku hizi,mimi kuna jamaa kasema eti ataniua nisipomwacha mkewe_lakn naapa katu sijawahi kutembea na mke wa mtu...labda wachumba wa watu kidogo ninaibaga.kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
huyu lazima akute creampie atakapozinduka, la sivyo ahame mji, makosa ya ngono wanaume mmekuwa wagumu sana kusameheSure Mkuu, Jamaa kule jukwaa la SIASA tunamjua ni Demu, sasa ndo nimemuuliza kama ni Lesbian, basi lazima Jamaa mwenye mke lazima amchape on day
ukubali ukatae jua kuna siku jamaa atatembea na wewe
demu kicheche!!!!!!!!!!!!!?huyo jamaa anahisi inawezekana anachohisi si sahihi.