Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dahhhh
kitu cha kwanza usitembee peke yako.jichunge mno
kuna 'hatari' inakufuata..kama ni muumini wa dini basi anza kwenda kwenye ibada
halafu waambie wakubwa zako kuhusu hilo tatizo
wamwite huyo mumewe 'aonywe' ili aogope kukudhuru
Atakuwa anapenda sana 'kuuza sura' na wake za watu.
thanks mkuu ushauri wako ntaufanyia kazi na mpaka sasa watu wangu wa karibu nimewaambia!jamaa alihaidi kunitoboa macho mimi au mkewe kama angemkuta kwangu!jana sijalala home kwa hofu ila leo itabidi nirudi tu kwani nahisi nateseka kwa jambo nisilolifanya!
Sasa kumbe una mawasiliano na mkewe kiasi hicho! Alikupigia kukuaga ama? Na mkewe anajua kua mumewe anakuhisi ww? Unatuzeveza eeh? Haya baba!
Hujatembea nae anasema umetembea nae!!!basi tembea nae ili aridhike!
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
mkuu mke wa mtu sumu ntaruka nirukavyo ila si kwa mke wa mtu!!!sema mshkaji anikomalia sana sijui kwanini....f.y.i jana usiku karudi kwake hajamkuta mkewe break ya kwanza kwa mshkaji wangu ili amlete home akidhani nipo na mkewe!huwezi amini jamaa kazunguka nyumba yote,makabatini mpaka uvunguni hajaona kitu!nimejisikia vibaya mpaka nimeamua kutaka ushauri na mbaya zaidi kanipigia leo mchana nimwambie kama nimetembea nikizidi kukataa atanifanya mbaya!hiyo mbaya ndo inaninyima amani
ha ha ha ,mdau kajichanganya jinsia yake na wewe umemshtukia inaonyesha ulivyo makini bramo,,,,hata kwetu wapoooSure Mkuu, Jamaa kule jukwaa la SIASA tunamjua ni Demu, sasa ndo nimemuuliza kama ni Lesbian, basi lazima Jamaa mwenye mke lazima amchape on day
mwambie atembee na wewe, ngoma itakuwa droo na atakusamehe yote.
Lakini ilikuwaje hadi akutuhumu wewe?
Mna uhasama gani? Una ukaribu gani na mkewe?
ha ha ha ,mdau kajichanganya jinsia yake na wewe umemshtukia inaonyesha ulivyo makini bramo,,,,hata kwetu wapooo
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae