sijatembea nae ila......

sijatembea nae ila......

thanks ..ni kweli kabisa tatizo linakuja tunatofautiana kwenye uelewa wa mambo
yeah, that is a possibility... Ila sasa ya mtu kutoka home kwenda kwa wanaume wengine kukagua nyumba zao, ina maana jamaa is 99% certain kwamba mamaa anamzunguka, na hapohapo, mateso yote ya nini ya kuzunguka nyumba za watu kukagua mkeo yupo wapi kama sio kujidhalilisha tu?? si amuache basi mama aendelee na maisha yake??

It is not a good picture mkeo au mumeo anaanza kupigia watu simu au kuwafuata kuwakataza wasitembee na mmewe/mkewe.... mambo ya ndani yanatakiwa wamalizane wenyewe na sio kuhangaika na public coz there is not a single solution that will come outside the ndoa na wanadoa wao wenyewe
 
dah....ulimbo huo kijana....kuna kitu kitafuata baada ya wewe kukubali kuwa ulitoka na mke wake. may be anakurecord then akuchukulie mashitaka.komaa na what you know.really if you have not screw her...please stick on it...and say NO big NO.kuna mtego mkali sana hapa....from both sides...even mkewe she might be part of the game bila wewe kujua...you know better this issue than us.
 
mkuu mke wa mtu sumu ntaruka nirukavyo ila si kwa mke wa mtu!!!sema mshkaji anikomalia sana sijui kwanini....f.y.i jana usiku karudi kwake hajamkuta mkewe break ya kwanza kwa mshkaji wangu ili amlete home akidhani nipo na mkewe!huwezi amini jamaa kazunguka nyumba yote,makabatini mpaka uvunguni hajaona kitu!nimejisikia vibaya mpaka nimeamua kutaka ushauri na mbaya zaidi kanipigia leo mchana nimwambie kama nimetembea nikizidi kukataa atanifanya mbaya!hiyo mbaya ndo inaninyima amani

Wacha unyonge.

Alipopekshen nyumba yako hadi chini ya uvungu, ungembambikia kesi ya wizi. Tengeneza list ya vitu na fedha ambayo hujawahi kuwa nayo nenda polisi ukadai amekuibia.
...Baada ya hapo anza kuhudhuria gym, ..
 
Hii habari iko nusunusu, Kuna kitu hujaeleza. Haiwezekani akutuhumu hivi hivi.
Kama unataka ushauri kuwa muwazi
 
Dogo, usijaribu kukiri jambo ambalo hujawahi kulifanya, itakucost! Mwenzio anataka proof ili aweze kutekeleza yale ambayo ameyapanga kuyafanya. tumia brain
 
Hii habari iko nusunusu, Kuna kitu hujaeleza. Haiwezekani akutuhumu hivi hivi.
Kama unataka ushauri kuwa muwazi

jioni demu alimuaga housegirl wake anaenda sokoni kabla hajatoka alinipigia simu inavyoelekea mbele ya huyo housegirl akataja jina langu!demu akachelewa kurudi katika hiyo misafara yake jamaa kurudi toka kazini demu hajamkuta kumbana housegirl akasema kama alisikia ananitaja jina langu!
 
yeah, that is a possibility... Ila sasa ya mtu kutoka home kwenda kwa wanaume wengine kukagua nyumba zao, ina maana jamaa is 99% certain kwamba mamaa anamzunguka, na hapohapo, mateso yote ya nini ya kuzunguka nyumba za watu kukagua mkeo yupo wapi kama sio kujidhalilisha tu?? si amuache basi mama aendelee na maisha yake??

It is not a good picture mkeo au mumeo anaanza kupigia watu simu au kuwafuata kuwakataza wasitembee na mmewe/mkewe.... mambo ya ndani yanatakiwa wamalizane wenyewe na sio kuhangaika na public coz there is not a single solution that will come outside the ndoa na wanadoa wao wenyewe
mkuu nashukuru kwa ushauri wako God bless you!huwezi amini hapa leo sijalala home kwa hofu kwani jamaa simuelewi anaweza kunifanya na kwa jambo nisilolitenda!thanks wanajamii kwa mawazo yenu kwa wale walionishauri nikaripoti polisi ntafanya hivyo kwani kuna mwana kanichana leo jamaa kanilia sana majani ili aniletee ukauzu!...na kwa wanaoniombea mabaya namuomba Mungu aniepushe na hayo!inshu hii ni ya moto na jana ndo imenitokea!
 
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
Mwambie hujatembea nae bali umemuwowa!.
 
DASA usinitie unyonge!Mungu niepushe na hili balaa
Kwani wewe uko vipi na huyo mwanamke mpaka akutaje taje?akupigie simu akitoka? Mbona hakunitaja mimi wala kunipigia simu? Sema bana!
 
anakufundisha woga ili ujifunge kwa kukuibali then apate ushahidi kamili akupe kichapo kulingana na maneno yako
 
dahhhh

kitu cha kwanza usitembee peke yako.jichunge mno
kuna 'hatari' inakufuata..kama ni muumini wa dini basi anza kwenda kwenye ibada

halafu waambie wakubwa zako kuhusu hilo tatizo
wamwite huyo mumewe 'aonywe' ili aogope kukudhuru
 
Sasa kumbe una mawasiliano na mkewe kiasi hicho! Alikupigia kukuaga ama? Na mkewe anajua kua mumewe anakuhisi ww? Unatuzeveza eeh? Haya baba!
jioni demu alimuaga housegirl wake anaenda sokoni kabla hajatoka alinipigia simu inavyoelekea mbele ya huyo housegirl akataja jina langu!demu akachelewa kurudi katika hiyo misafara yake jamaa kurudi toka kazini demu hajamkuta kumbana housegirl akasema kama alisikia ananitaja jina langu!
 
acha ukicheche kwanini akufuate wewe au wewe ndyo handsome boy wa kitaa hicho
 
Back
Top Bottom