Kwamex
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 378
- 96
Kwanini usingiziwe wewe tu? Hakuna wanaume wengine hapo mtaani? Jisachi kijana..........!!
Atakuwa anapenda sana 'kuuza sura' na wake za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usingiziwe wewe tu? Hakuna wanaume wengine hapo mtaani? Jisachi kijana..........!!
yeah, that is a possibility... Ila sasa ya mtu kutoka home kwenda kwa wanaume wengine kukagua nyumba zao, ina maana jamaa is 99% certain kwamba mamaa anamzunguka, na hapohapo, mateso yote ya nini ya kuzunguka nyumba za watu kukagua mkeo yupo wapi kama sio kujidhalilisha tu?? si amuache basi mama aendelee na maisha yake??
It is not a good picture mkeo au mumeo anaanza kupigia watu simu au kuwafuata kuwakataza wasitembee na mmewe/mkewe.... mambo ya ndani yanatakiwa wamalizane wenyewe na sio kuhangaika na public coz there is not a single solution that will come outside the ndoa na wanadoa wao wenyewe
mkuu mke wa mtu sumu ntaruka nirukavyo ila si kwa mke wa mtu!!!sema mshkaji anikomalia sana sijui kwanini....f.y.i jana usiku karudi kwake hajamkuta mkewe break ya kwanza kwa mshkaji wangu ili amlete home akidhani nipo na mkewe!huwezi amini jamaa kazunguka nyumba yote,makabatini mpaka uvunguni hajaona kitu!nimejisikia vibaya mpaka nimeamua kutaka ushauri na mbaya zaidi kanipigia leo mchana nimwambie kama nimetembea nikizidi kukataa atanifanya mbaya!hiyo mbaya ndo inaninyima amani
ukubali ukatae jua kuna siku jamaa atatembea na wewe
Hii habari iko nusunusu, Kuna kitu hujaeleza. Haiwezekani akutuhumu hivi hivi.
Kama unataka ushauri kuwa muwazi
ntake radhi mkuu!Ah, we unatuchanganya sasa,kule jukwaa la Siasa unajinsibu kama Demu,huku umetembea na mke wa mtu, are you LESBIAN??
mkuu nashukuru kwa ushauri wako God bless you!huwezi amini hapa leo sijalala home kwa hofu kwani jamaa simuelewi anaweza kunifanya na kwa jambo nisilolitenda!thanks wanajamii kwa mawazo yenu kwa wale walionishauri nikaripoti polisi ntafanya hivyo kwani kuna mwana kanichana leo jamaa kanilia sana majani ili aniletee ukauzu!...na kwa wanaoniombea mabaya namuomba Mungu aniepushe na hayo!inshu hii ni ya moto na jana ndo imenitokea!yeah, that is a possibility... Ila sasa ya mtu kutoka home kwenda kwa wanaume wengine kukagua nyumba zao, ina maana jamaa is 99% certain kwamba mamaa anamzunguka, na hapohapo, mateso yote ya nini ya kuzunguka nyumba za watu kukagua mkeo yupo wapi kama sio kujidhalilisha tu?? si amuache basi mama aendelee na maisha yake??
It is not a good picture mkeo au mumeo anaanza kupigia watu simu au kuwafuata kuwakataza wasitembee na mmewe/mkewe.... mambo ya ndani yanatakiwa wamalizane wenyewe na sio kuhangaika na public coz there is not a single solution that will come outside the ndoa na wanadoa wao wenyewe
Mwambie hujatembea nae bali umemuwowa!.kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
Jiandae kuliwa tiGO!!!
Kwani wewe uko vipi na huyo mwanamke mpaka akutaje taje?akupigie simu akitoka? Mbona hakunitaja mimi wala kunipigia simu? Sema bana!DASA usinitie unyonge!Mungu niepushe na hili balaa
jioni demu alimuaga housegirl wake anaenda sokoni kabla hajatoka alinipigia simu inavyoelekea mbele ya huyo housegirl akataja jina langu!demu akachelewa kurudi katika hiyo misafara yake jamaa kurudi toka kazini demu hajamkuta kumbana housegirl akasema kama alisikia ananitaja jina langu!