sijatembea nae ila......

Ukifaanya mzaa utaliwa kiboga na wahuni,we nenda police ,then nawe uwe mbabe looo
Kasheshe unayo na hapo home usilale haadi soo liishe
 
USISEME UONGO. ita jamaa wa karibu ikiwa ni marafiki na majirani. umweleze jamaa ukweli wako na usisite kuwaeleza vitisho ambavyo jamaa anakutishia. kisha karipoti polisi.
 
hapa kunaonekana kuna tatizo kwa huyu mtoa mada

kuwa wazi ilikuwaje mpaka jamaa akushtumu kama umetembea na mkewe

sidhani kama huyo jamaa kachanganyikiwa itakuwa kuna kitu ulikuwa unafanya na mkewe.
 
dahhhh

kitu cha kwanza usitembee peke yako.jichunge mno
kuna 'hatari' inakufuata..kama ni muumini wa dini basi anza kwenda kwenye ibada

halafu waambie wakubwa zako kuhusu hilo tatizo
wamwite huyo mumewe 'aonywe' ili aogope kukudhuru

thanks mkuu ushauri wako ntaufanyia kazi na mpaka sasa watu wangu wa karibu nimewaambia!jamaa alihaidi kunitoboa macho mimi au mkewe kama angemkuta kwangu!jana sijalala home kwa hofu ila leo itabidi nirudi tu kwani nahisi nateseka kwa jambo nisilolifanya!
 

hutakiwi kumuogopa.mfuate kwake na watu wako
mumpige mkwara mzito na umwambie 'am stopishe mkewe' kukufuata fuata..
na kuwa 'akikudhuru' tu .atakiona cha mtema kuni.....
mwambie hujatembea wala huwezi kutembea na mkewe.
 
Sasa kumbe una mawasiliano na mkewe kiasi hicho! Alikupigia kukuaga ama? Na mkewe anajua kua mumewe anakuhisi ww? Unatuzeveza eeh? Haya baba!

Itafahamika tu, naona kijana anatoa stori nusu nusu tena kwa upande mmoja bila kuwa muwazi wa situation zinazompelekea kuwindwa!! Anaweza kujifanya kulalamika kumbe ye mwenyewe ndo anajisababishia!!
 

mwambie atembee na wewe, ngoma itakuwa droo na atakusamehe yote.
Lakini ilikuwaje hadi akutuhumu wewe?
Mna uhasama gani? Una ukaribu gani na mkewe?
 
stick kwenye ukweli na katoe taarifa polisi kwa usalama wako na afahamu kuwa taarifa zake za vitisho zipo polisi.
 

Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, hawatatingishika milele yote
 
Sure Mkuu, Jamaa kule jukwaa la SIASA tunamjua ni Demu, sasa ndo nimemuuliza kama ni Lesbian, basi lazima Jamaa mwenye mke lazima amchape on day
ha ha ha ,mdau kajichanganya jinsia yake na wewe umemshtukia inaonyesha ulivyo makini bramo,,,,hata kwetu wapooo
 
Kama ujatembea naye kwa nini useme uongo??

Usiendelee kukaa kimya na kukimbia makazi yako waambie ndugu/ marafiki zako kinachoendelea ( taharifa ni muhimu)

Nenda karipoti police kwa anavyokutisha

Kata mawasiliano na huyo mke wa mtu
 
mwambie atembee na wewe, ngoma itakuwa droo na atakusamehe yote.
Lakini ilikuwaje hadi akutuhumu wewe?
Mna uhasama gani? Una ukaribu gani na mkewe?

sijawahi kuwa na uhasama nae kabla!....jamaa alirudi toka job kufika kwake mkewe hayupo na ilikuwa late hours si kawaida ya mkewe!kupiga simu ya mkewe haipokelewi na ndo alivyoanza kudadisi ameenda wapi!kwakuwa last call mkewe aliongea na mimi mbele ya housegirl wake na kunitaja jina basi huyo housegirl akaconclude kama atakuwa kwangu!kwa nilivyosoma picha huyu mwanamke atakuwa ameshawahi kuongelea kitu kunihusu akiwa na housegirl wake!
 
ha ha ha ,mdau kajichanganya jinsia yake na wewe umemshtukia inaonyesha ulivyo makini bramo,,,,hata kwetu wapooo

alete ushahidi wa anayoyasema!....mkuu sijawahi kuomba ushauri JF mpaka nimetaka ushauri ujue maji ya shingo nikiamini penye wengi........huwezi amini tangu nimepost nimejisikia ahueni kwa nnavyopata ushauri wa wadau sasa mtu anavyoleta michongo siyo nakuwa simuelewi!.....inshu imetokea juzi,jana sijalala home,leo nimeanza kuchukua hatua za kujizatiti!!!!!mimi siyo **** najua mke anavyouma angekuwa kicheche hakijaolewa nisingetaka ushauri ningedeal na jamaa kimjinimjini!
 
'hakuna kitu kinachomuuma sana mwanaume zaidi ya kujua kuwa mkewe ameliwa na mwanaume mwingine.Ktk hili wengi huwa hawana msamaha kwa wakosaji wao. Kama kweli hujatembea na mkewe, huna haja ya kumdanganya, shikilia msimamo wako huo huo. Ikiwa hamuamini mkewe, mwache afe kwa kihoro chake!
 

kuna kila dalili anataka akukule 'tigo'. Mkuu hama mji then uone mambo yatakuwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…