Ed edd n eddy
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 212
- 270
- Thread starter
-
- #21
Dsm ndio kila kitu mkuu kasoro joto tu,i cant imagine kuishi nje ya darHahahahahaa.
Braza heshima yako sanaaa. Hali ya hewa ya Arush huwezi kuilinganisha na Dar es salaam bwana. There's just something special about Arusha, hivi unajua katika maamuzi ambayo namuunga mkono Raisi ni kuhamishia serikali Dodoma ? Daslam unaishi tu ufanye sasa....
Mungu anibarikiBraza mimi ndugu yako nakutakia kila la kheri katika hilo. Pumzika tu sehemu nzuri ambayo hawatakupa stress za uzeeni.
Lushoto pametulia sana,sounds interestingLushoto mkoani Tanga
Jr[emoji769]
Acha tu,hewa nzito na yamoto..Hlf huo mkoa wasipo liangalia swala la hewa/mazingira kiujumla watakuja kujutia kwa mtu alieishi mikoa yenye fresh hewa akifika Dar lzm atagundua kuna kitu tofauti na itampa tabu
Thanks
Amen braza
Sure,dah itabidi nifanye hivoFanya kwenda lushoto, utafurahia vacation yako
Weekend hii nilikuwa Tanga....itabidi nirudi tena...Amen braza
Hahaha umekufurahia sana mkuu ?Weekend hii nilikuwa Tanga....itabidi nirudi tena...
Braza Moro kuna joto. Tena kama January ile palikuwa hapafai kabisaaaMorogoro kuna joto pia?
Vyovyote vile lakini sitegemei joto la moro liwe kama la darBraza Moro kuna joto. Tena kama January ile palikuwa hapafai kabisaaa
Kiasi fulaniHahaha umekufurahia sana mkuu ?