Sijatoka nje ya dar mwaka wa 12 huu,niende mkoa gani mzuri wenye hali ya hewa nzuri?

Sijatoka nje ya dar mwaka wa 12 huu,niende mkoa gani mzuri wenye hali ya hewa nzuri?

Hahahahahaa.
Braza heshima yako sanaaa. Hali ya hewa ya Arush huwezi kuilinganisha na Dar es salaam bwana. There's just something special about Arusha, hivi unajua katika maamuzi ambayo namuunga mkono Raisi ni kuhamishia serikali Dodoma ? Daslam unaishi tu ufanye sasa....
Dsm ndio kila kitu mkuu kasoro joto tu,i cant imagine kuishi nje ya dar
 
Hlf huo mkoa wasipo liangalia swala la hewa/mazingira kiujumla watakuja kujutia kwa mtu alieishi mikoa yenye fresh hewa akifika Dar lzm atagundua kuna kitu tofauti na itampa tabu
 
Duuh,kweli tunatafautiana,mi sjawahi kukaa mji mmoja zaidi ya miezi mitatu bila kutoka,kwanza naweza hata kuumwa nkikaa muda mrefu sehem moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hlf huo mkoa wasipo liangalia swala la hewa/mazingira kiujumla watakuja kujutia kwa mtu alieishi mikoa yenye fresh hewa akifika Dar lzm atagundua kuna kitu tofauti na itampa tabu
Acha tu,hewa nzito na yamoto..
 
Back
Top Bottom